Add a Comment
Hahahahahah unasababu zako ila umenijumuisha sio mbaya YESU kabla ya kupaa alituachia neno na si jingine ni kupendana so tunapaswa kupendana.
Nimeupendea:-
-Sauti nzuri za waimbaji
-Ujumbe
-Upigwaji vyombo
Ujumbe wake unakufaa sana wewe Omari ambaye hupenda ......
Dismas una sababu za msingi za kupenda wimbo huu? maana hata mimi nikiusikiliza kama una maana vile ila hebu nipe sababu zako zilizokufanya uupende wimbo huu? pls
Tupo pa1 Anangisye
tuko pamoja, mi mwenyewe wimbo huu nimetokea kuupenda sana.
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge