Tulonge

Aliyemuua mama yake Ufoo Saro na kujiua aagwa DSM, kuzikwa kesho Moshi

Waombolezaji wakipita kuaga mwili wa aliyekuwa mzazi mwenzake mwandishi wa habari wa ITV/Radio One, Ufoo Saro marehemu Anthery Mushi wakati wa ibada fupi ya kuaga mwili wake iliyofanyika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam

 Chanzo: Father Kidevu Blog

Views: 476

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by SHARIFA MKUMBARU on October 19, 2013 at 9:36

Pole kwa wafiwa wote, Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu walichokuwa nacho!

Comment by David Edson Mayanga on October 18, 2013 at 19:54

RIP BRO ILA NIMAMUZI MAGUMU SANA LAKINI SIRI ALIKUWANAYO YEYE NA MPENZI WAKE MH YETU MACHO ILA MUNGU WASIMAMIE

Comment by CHA the Optimist on October 18, 2013 at 18:42

Mh!

Comment by MGAO SIAMINI,P on October 18, 2013 at 9:36

ilibidi amalize wote waliokula njama,hasa huyo jamaa anaesemekana alitaka kumuoa ufosaro wakati hajajiridhisha kama mzazi mwenzie kamuacha au la! maana inasemekana alikamilisha taratibu zote za kitamaduni ilibaki ndoa halafu hatujui mapenzi yao wametoka nayo wapi uckute wamesomeshana na shule. wanawake kuweni waminifu.

Comment by habiba mustafa mlawa on October 18, 2013 at 8:57
ni maamuzi magumu sana RIP BRO

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*