Tulonge

Aliyeuawa na askari wawili Kasulu azikwa, askari hao kufikishwa mahabusu

Askari polisi wawili wa kituo cha polisi Herushingo tarafa ya makere wilaya Kasulu wanashikiliwa na polisi wakituhumiwa kusababisha kifo cha mkazi wa kijiji cha Herushingo Gasper Mussa baada ya kumpiga sehemu mbalimbali za mwili wake na kumuweka mahabusu.

Views: 436

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by nestory solile on December 30, 2012 at 15:08

makamanda wetu wamezidi kujichukulia hatua mkonon,sasa ww unadaiwa kulipa hutaki kisa askari! mm nashauri serikal ibadili mfumo wa kuajili angalau waanze na mtu mwenye diploma hapo nidham itakuwepo kwa askar wetu lkn kwa hawa form naniiii hawana hata uchungu wa maisha.

Comment by Tulonge on December 29, 2012 at 2:25

Haya mambo ya kupiga piga hovyo siyataki kabisa. Nakumbuka enzi zangu za kukua nilikua napigana sana, ila kwa sasa sithubutu.Bora nionekane mjinga kwa kukimbia. Watu wanatembea  na matatizo yao, unampiga kidogo tu anakufia.

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*