Kutoka mkoani Arusha Eneo la Soweto ni kwamba mda mfupi kuna mlipuko umetokea katika mkutano wa kufunga kampeni za udiwani uko Arusha kwenye mkutano wa Chama cha demokrasia Chadema katika eneo la Soweto na kuna majeruhi pamoja na vifo vya watu wawili katika tukio hilo...........!!!!
Taarifa za awali toka mlipuko huo kutokea ni kuwa watu waliojeruhiwa katika mlipuko huo wanakimbizwa hospitali.Taarifa rasmi kutoka kwa vyombo vya usalama pamoja na viongozi wa chama cha Chadema zinasubiriwa.
Lema na Mbowe wakijadiliana cha kufanya baada ya mlipuko
Mbowe akiondolewa eneo latukio baada ya polisi kuanza kupiga mabomu ya machozi
Add a Comment
hili swala linauma ni hujuma
EEE MWENYEZI MUNGU KAMA INAKUWA HIVI ITABIDI ITIZAMWE JINSI YA KUWA WANA SIASA KUPIGA KAMPENI ZAO KWANJ SIASA KUPIGA KAMPENI ZAO KWANJ TUNAKOKWENDA KUBAYA SANA ITAKUWA KILAMKUSANYIKO WAWATU TUWE MAKINI. JESHI LA POLISI INABIDIKUONGEZA NGUVU.
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge