Tulonge

Shoga aamua kuacha ushoga na kumfuata Yesu

Kushoto Aunt Asu alipokua shoga, kulia ni baada ya kuokoka

Hatimaye yule shoga maarufu jijini Dar es Salaam,Aunt Asu aamua kuokoka na kuachana kabisa na ushoga. Alikwenda katika kipindi cha Dida Mitikisiko ya Pwani cha Clouds FM na kueleza kua ameamua kumfuata Mungu na kuokoka kabisa.Zifuatazo ni baadhi ya picha zake akiwa shoga na baada ya kuokoka.

Kabla ya kuokoka

Kabla ya kuokoaAunt Asu katikati baada ya kuokoka

Aunt Asu kulia baada ya kuokoka

Views: 1707

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Christer on September 22, 2013 at 21:25

Hongera

Comment by MGAO SIAMINI,P on September 17, 2013 at 14:15

KONDOO KARUDI KUNDINI MUNGU AKUBARIKI, ATAFUTIWE NA MKE NDO HAWEZI KURUDIA.

Comment by David Edson Mayanga on September 17, 2013 at 11:15

HUYO HUKO NAKWENDA KUTAFUTA CV NAKUFANYA KWAKIMY KIMYA HIYO KITU HAWEZI IACHA KABISA ,NISAWA NA MTU UKISHA KULANAYAMA YA BINA DAMU HUWEZI IACHA ZAMBI HIYO UTAENDELEANAYO HADI UTAKAPO KUFA.UNAKUMBUKA IDIAMINI DADA ILIKUWA AJE?

Comment by Mntambo Mburi on September 16, 2013 at 15:04

Hongera kuamua kumfuata Bwana. Kristo alikuja kwa ajili ya wale wadhambi, na sote tumepungukiwa na utukufu wa Mungu.

Comment by jacquerin gideon makoyola on September 16, 2013 at 8:54

Mungu ambariki kwa kumpokea Mbwana

Comment by Omar on September 14, 2013 at 23:26
Kumbe jamaa alikuwa chakula cha wakubwa(bwabwa,mshumaa,tende)poa umeamua kuacha inabidi uhame eneo maana hata jina wanakuita la kike.
Comment by Tulonge on September 14, 2013 at 23:12

Hongera kwa kumshinda shetani.

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*