Tulonge

Msikilize Msanii wa Bongo Fleva 'Barnaba' akifunguka kuhusu kupewa nyumba London


Via: DJ Fetty Blog

Views: 1259

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by leah kalekwa on January 5, 2013 at 12:03

is that ya house kweli?

Comment by Mama Malaika on January 5, 2013 at 2:27

Gratious.... bora commander umekuja unitetee. LOL.... Mwingereza wangu kacheka na kusema kuwa watanzania tuna vituko sana. Ukiangalia hiyo metal bar kulia kwenye lango (picha ya juu), yaonyesha viji-duara viduchu for flat door numbers, naona iko mistari 2 ya viji duara 4 (8 flats).

Gratious... Hiyo Barnabas House kwenye link yako naifahamu iko west end of London ndani ya City of Westminster, jirani na City University of London, pale Clerkenwell ambayo ndio maeneo Soho. Lazima utakuwa umekatisha mitaa hii ulipokuwa London au kuwa jirani nalo kwani ndio central London yenyewe. 

Baba Malaika asema amesha liona jengo hili alipopiga picha huyu msanii wa Tanzania liko London lakini sio City of Westminster. Kuna Barnabas House eneo la Ilford (east part of London) ambayo kunaishi Asians na African immigrants wengi

Comment by Mama Malaika on January 5, 2013 at 0:35

BBC wafanyakazi wake karibu wote wanaishi nyumba sio za BBC.

Comment by Gratious Kimberly on January 4, 2013 at 20:34

mhhhh  thithemi thana...ngoja nitoke kibaruani weekend....jengo limejengwa mwaka Tanzania inakuwa huru rasmi....majengo ya zamani na yenye uhusiano na serikali kwa mzungu ni vigumu kuuza alafu hata wakiuza  mkwanja wake usipime....kaka John wa "kwenda"; hasikumpanze huyu mbongo flava....tumia mtandao kupekua kabla ya kupitia comment za watu!!

Mhhh ebu tuanze na hapo ;http://en.wikipedia.org/wiki/House_of_St_Barnabas   au  au...

tuchague pa kubofya; https://www.google.de/search?q=Barbas%20house%20London&ie=utf-8...

   niko kijijini jumapili...alafu Alfani nimekumisooo  na wengine ambao hatujawasiliana kipindi hiki....kwanzaaaaaa:   Heri ya Mwaka Mpya!!!

Comment by Alfan Mlali on January 4, 2013 at 15:04

Mweeeeeeee!

Comment by Tulonge on January 3, 2013 at 23:14

Huyu jamaa atakua amepangishiwa kwa muda mfupi, lkn siyo kupewa nyumba. Na hilo charter hapo sidhani kama limewekwa baada ya yeye kufika hapo, linaonekana nila muda mrefu. Yeye anadai nyumba imepigwa charter lake.

Alichokosea dogo ni kusema amepewa nyumba na imewekwa label yake. Kwa nn adanganye?

Comment by Mama Malaika on January 3, 2013 at 22:18

Baba Malaika kabakia kucheka na habari ya Barnabas House

Comment by Mama Malaika on January 3, 2013 at 22:13

John Genda.... sasa nione wivu wa nini kama kweli hiyo nyumba ingekuwa ya kwake?? Mbona ni kitu cha kawaida tu kwa immigrants kuwa na nyumba hapa London. Huyu Barnaba sijawahi msikia zaidi ya hapa Tulonge hivi leo. Na huyo wa gari unayesema naye ndio kwanza namsikia toka kwako wewe hivi leo, sasa niwaone wivu wa nini?

Comment by John Genda on January 3, 2013 at 16:29

jamani mbon a mnacomment hivyo nyumba ni yake kweli kwani kuna ajabu gani, mbona wolper alipopewa gari la kifahari watu mlisema mengi hivyohivyo ooh mara la wizi , mara kahongwa, mara ninisijui mali yake hadi leo acheni mtimanyongo alopewa kapewa hanyang'anyiki wala nini

Comment by Mama Malaika on January 3, 2013 at 14:08

na kijana kama huyu huyu hafai kwenye jamii, anadanganya na kuwapambisha moto vijana wenzie alowaacha TZ na kuona maisha ya mtoni ni chee Barnaba kapewa nyumba tena imeandikwa jina lake, kumbe sivyo wanavyofikiria.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*