Tulonge

Msikilize Msanii wa Bongo Fleva 'Barnaba' akifunguka kuhusu kupewa nyumba London


Via: DJ Fetty Blog

Views: 1271

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Tulonge on January 3, 2013 at 13:48

Teh teh teh na kweli wanapenda sifa, wanapenda sana kuandikwa kwenye magazeti. Eti amepewa nyumba na ikaandikwa jina lake hahahhahahhahahaaaa kazi ipo.

Comment by Mama Malaika on January 3, 2013 at 13:12

Dismas.. Hawa watoto tatizo wanapenda sana sifa wakati ubongo hawana.

Comment by Mama Malaika on January 3, 2013 at 13:10

Dismas.. limbukeni utamjua tu kwani hajifichi

Comment by Tulonge on January 3, 2013 at 11:39

Hhahahahhahahaaa aisee hawa watoto wakija huko wanatudanganya kweli, asante mama kwa maelezo

Comment by Mama Malaika on January 3, 2013 at 10:51

Huyu bwana hiyo sio mali yake bali ni jengo kubwa laitwa Barnabas House (for St Barbanas) na linaishi familia nyingi tu (flats), jina Barnabas House kwenye jengo liko miaka kenda rudi hata kabla huyu msanii hajazaliwa.

Duh! Na huo muenekano wa picha hapo chini aliposimama yenye ukungu uloota sakafuni ni hatari, sijui liko chini ya Housing Association (Halmashauri)???

Comment by Christer on January 3, 2013 at 10:14

Hta mimi sijaelewa, amepewa akae mpk atakaporudi TZ? Au amepewa iwe mali yake? afunguke vizuri.

Comment by Masha waryoba on January 3, 2013 at 9:43
Mbona bado sijaelewa mie!Nani kampa hiyo nyumba barnaba.
Comment by Tulonge on January 3, 2013 at 1:47

Duu! inamaana imekua mali yako kabisa? kama ni hivyo hongera sana

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*