Tulonge

Bondia maarufu Duniani Francis Botha pamoja na Rais wa WBF wawasili nchini

Mgeni rasmi katika mpambano wa Kimataifa wa Ubingwa wa WBF Bondia bingwa wa Dunia wa Uzito wa Juu Zamani, Francois Botha 'Wwite Buffalo' katikati baada ya kupokelewa alipowasili katika uwanja wa kumataifa wa Julius Nyerere Dar es salaas leo wengine kushoto ni Raisi wa TPBO Yassini Abdalla na Rais wa World Boxing Federation ,Howard Goldbeg pamoja na Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi Nchini Rajabu Mhamila 'Super D' Mpambano wa ubingwa wa Dunia wa chama hicho unafanyika kwa mara ya kwanza kwa kuwakutanisha Mabondia Fransic Cheka na Phil Williams wa Marekani siku ya August 30 katika ukumbi wa Diamond Jubilee siku ya ijumaa hii

Views: 218

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*