Add a Comment
Taifa stars wera wera! tutafika tena tutakua tumekomaa si tumekaa bench kitambo tunayajua machungu.serikali iwekeze japo taifa stars watanzania watakatishe nyoyo zao kupitia soka.
Hahahaahaaa Ilya umenifurahisha. Mzee wa Big G kazeeka c o?
Braizil imeisha,tunakuja sasa Taifa stars kuchukua nafasi yao,maana Taifa stars ya sasa si ile ya enzi zile iliyokuwa ikiboa katika soka!.Hii Stars ya sasa ni inakuja moto,hivyo Brazil na wenzao wakae mkao wa kula.Na sasa kidooogo tumeanza kupata fursa za wachezaji wetu kwenda kufanya Interview ya kisoka huko pande za mbele sipati picha hapo siku za usoni,na happ mafuns wa Futiboli wakae mkao wa kushangilia maana dunia itaelewa maana halisi ya Taifa Stars!.Tena nilikuwa na mpango wa kuishauri TFF iwasiliane na mzee wa Big G aliyestaafu ili kama vipi aionoe Taifa Stars walau kimwaka kimoja,inatosha!.Aaaaa lakini nimekumbuka kaisha zeeka achana nae!!!.
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge