Tulonge

Nigeria yatishia kujiondoa bara la Africa!

Kufuatia kukosa uenyekiti wa AU kwa Boni Yayi wa Benin, utawala wa Rais Goodluck Jonathan Ebeble leo umetishia kujitenga kutoka bara la Afrika na kuanzisha bara huru la Nigeria. Katika taarifa fupi kwa vyombo vya habari iliyosainiwa na Bw Reuben Abati, Nigeria ilitamka: "Sababu Afrika imeona Rais wetu, Dr Goodluck Ebele Jonathan hafai uenyekiti wa AU, basi Afrika haistahili kuwa na Nigeria kama mojawapo ya nchi ndani ya bara hilo."

Following the expected loss of AU chairmanship to Boni Yayi of Benin Republic, President Goodluck Ebeble Jonathan’s administration today threatened to breakaway from Africa and form an independent continent of Nigeria.

In a terse press release signed by Mr. Reuben Abati, Nigeria stated:

"Since Africa does not consider our President, Dr Goodluck Ebele Jonathan good enough for the Chairmanship of the African Union, then Africa does not deserve our presence on the Continent."

Following the statement, Africa's most populous nation has given the AU an ultimatum of 1 week to regroup and crown GEJ the head of the prestigious union otherwise there shall be consequences.

The press release also advised the advisory body of AU not to bother trying to contact GEJ on the matter as it is non-negotiable. The document pointed out that the Nigerian president is currently too busy negotiating with more important personalities like Boko Haram who the AU should not force him to exile to their countries.

Meanwhile, ministers, cabals, and members of parliament are believed to have secretly convened to decide how Nigeria’s breaking away from Africa should be organized to ensure that the Igbos and other Southerners do not use the opportunity to slip away into the Atlantic with their oil and also form their own continent.

Views: 355

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by ILYA on February 5, 2012 at 22:02

Reply kwa Eddie@ Kiburi cha Iran ndio hiki.

Kaka  unasema Iran ina Kiburi.Sina shaka bali nina imani unanizidi umri, kwa maana ulizaliwa kabla yangu.

Nataka tukumbushane Mkuu  ni lini kwa mujibu wa kumbu kumbu zako Iran ililivamia Taifa lingine kivita na ili kupora utajiri wake na kufanya unyonyaji haramu??.

Tangu uzaliwe Iran ilivamia Taifa lipi.??

Ukifanikiwa kulitaja Taifa hilo utakuwa umekaribia kuijua maana kamili  ya kiburi.

Iran ni nchi ya Amani isiyopenda vita,ni nchi inayoheshimu maendeleo ya Mataifa mengine,ni nchi haina siasa za kujitanua na kusambaa duniani,Iran ni nchi ambayo inapenda kustawisha urafiki, upendo na haki miongoni mwa mataifa yanayopenda kuwaona wanadamu wanapata mafanikio katika maisha yao ya kila siku.Iran ni nchi inayopenda kujitegemea katika kukuza uchumi wake na sio kutegemea kupora mali za Taifa lingine.Iran ni nchi inayotetea uhuru wa Mataifa mengine yanayoendelea.Hicho ndicho Kiburi cha Iran na dhambi ya Iran.

Kwa kukusaidia zaidi kaka Eddie:Bonyeza link hii upate maelezo kamili: http://kiswahili.irib.ir/index.php?option=com_content&view=arti...

Comment by Mama Malaika on February 5, 2012 at 19:15

He is insane!! Atatue kwanza matatizo ya Nigeria kabla ya kutaka kuongoza AU. Na bora Nigeria ijitenge kabisa na bara la Africa na ikiweza wahamishe na ardhi yao kwenda kuiweka katikati ya Atlantic Ocean wawe kisiwa.

Comment by eddie on February 5, 2012 at 16:20

Nigeria inajifanya kuwa na kiburi kama Iran! Hahhahahaha!

Comment by Alfan Mlali on February 5, 2012 at 12:11
Hahahahaha...hawa jamaa watakuwa wanavuta bangi.Inawezekana vipi kuitenganisha Nigeria kutoka bara la africa??!
Kwani Nigeria ni kisiwa?? Au mimi Geography imenipiga chenga??
Comment by KUNAMBI Jr on February 5, 2012 at 11:17

huyu kalala usiku na mkewe ndo kamshauri nn hamnazo kabisa huyu jaman

Comment by Tulonge on February 4, 2012 at 19:58

Anaweza kumudu mziki wa kujitegemea yeye mwenyewe na Nigeria yake? Asije akaomba kujiunga tena baada ya muda mfupi.

Comment by Dennis on February 4, 2012 at 19:40

akapambane na boko haram kwanza, akiwashinda aje tumpe nafasi africa!!! kwake kunawaka moto kashindwa kuzima ataweza migogoro mikubwa ya africa huyu?

Comment by chaoga on February 4, 2012 at 10:23

nchi yake tu anashindwa kuinganisha, na matatizo yaliyomo nchini mwake je akipewa majukumu ya kuongoza AU atayamudu!!? wameona mbali waliopiga kura

Comment by ILYA on February 3, 2012 at 23:09

Nigeria ina wazimu.Au inavuta bangi!!!!

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*