Ni habari za faster,na zingine za haraka zikiwemo zile aina ya Breaking newz zilizonifikia mida hii kwamba hivi sasa meli ya inayoitwa SEAGUL iliyobeba abiria 200ipo inazama katika bahari ya Hindi.Meli hiyo ilikuwa inatokea Dar City kuelekea Zanzibar.
Na hivi sasa ninavyoandika kidokezo hichi cha news ni kwamba meli hiyo bado inaendelea na zoezi la kuzama chini kabisa ya bahari.
Ndugu watanzania kwa heshima ya hali ya juu mnaombwa kuwaombea abiria hao waliomo ndani ya meli hiyo kama inavyonekana katika picha Mwenyeezi Mungu awanusuru na ajali hiyo.
Na Chalii_a.k.a_ILYA
Add a Comment
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge