Tulonge

Neno toka kwa Mdau: 'Bunge letu watanzania'

Siku zote miongoni mwa udhaifu wa kiti na kushindwa kutenda haki ndio maana vurugu Bungeni hazitakwisha, kiti kikitenda haki hatutaona malumbano. Mbona Spika Sitta alikuwa kutoka CCM lakini hakuwa dhaifu kiasi hiki. Hata viongozi wa CCM kama hamtamwambia ukweli Spika basi hii ni dalili ya anguko letu 2015. Watanzania wanaona. Spika mstaafu alikuwa gumzo mitaani kwa umahiri wake, lakini Spika Makinda amekuwa gumzo mitaani kwa kupindisha ukweli na kuonyesha udhaifu.

Views: 279

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by David Edson Mayanga on April 25, 2013 at 11:26

wakuu nashukuru kuniunga mkono UJUEKUWA MIMI NI MWANA ccm LAKINI KWAMWENDO ANAOKWENDA NAO  SPIKA WETU HATUFIKI KABISA 

Comment by Dixon Kaishozi on April 24, 2013 at 12:30
Nafarijika kiasi flana kuona wadau wa CCM kuona madudu yafanywayo na kiti cha spika na kukubali udhaifu wao kwa upendeleo waufanyao bungeni. Mwisho wa siku Watanzania tunaujua ukweli na hatima ya kumaliza yote hayo ni KURA yetu ndiyo itakayo tuokoa. Asante @ David Edson
Comment by mathias mwita on April 24, 2013 at 12:24

wapi na wapi kiti muhimu kama kile kishikwe na bibie?!!!!!!!! kile kiti kinatakiwa dume ambalo halitogopa chama

Comment by MGAO SIAMINI,P on April 24, 2013 at 12:22

Pamoja na naibu speaker, tatizo maspeaker wanatokana na vyama wanatakiwa watu wasiotokana na chama chochote ndio wawe maspeaker.ccm ndo inaondoka ila wenyewe wanaona ni mazingaombwe. "MUNGU ANAWAONGOZA CCM KATIKA NJIA YA KIFO"

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*