Diamond akimkabidhi funguo ya gari (Toyota Funcargo) Mzee Gurumo katika ukumbi wa Serena Hotel Dar es Salaam. Picha kwa hisani ya DJ Choka Blog
Tukio hili lilifanyika ukumbi wa Serena Hotel DSM wakati wa Diamond alipokua akizindua video ya wimbo wake mpya uitwao Number One. Diamond alisema alijisikia vibaya baada ya Mzee Ngurumo kutangaza kustaafu muziki siku chache zilizopita na hakuwahi kumiliki gari katika kipindi chake chote alichokuwa mwanamuziki.
Add a Comment
punda wa dobi.
That is what we call community socially responsibility ,giving back to the community siyo kutuharibia vijana tu mtaani m
KIDOGO UNAJIFAGILIA KUZIMA MAPENGO YAKPO YA MADAWA YA KULEVYA NA U FREEMASON
Mi huwa nawaambia, pa1 na mapungufu kadhaa ya huyu dogo, ana mambo mengi mazuri anayoyafanya pia. Ila watu huangalia mabaya yake machache ambayo hata sisi huwa tunayafanya.
Ukiachana na hili,pia huwa anawakumbuka sana watoto yatima na wengine wasiojiweza. Pia ni msaada mkubwa kwa ndugu zake.Huwa anawapatia fedha kwaajili ya kuanzisha miradi mbalimbali.
Kabla ya kumlaumu na kumchukia mtu, jiangalie wewe kwanza.
dogo kakumbuka mchango wa wanamuziki wakongwe safi sana...
SAFI DIAMOND HIYO NDIO NJIA NZURI YA UMAARUFU SIO MAKELELE TU
SAFI SANAAAAA DOGO, UKIWAKUMBUKA WAZEE LEO NA WW UTAKUMBUKWA UZEENI KWAKO hiyo ni kanuni kutoka kwa muumba
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge