Tulonge

Dondoo ya kinachoendelea sasa kuhusu shambulizi la Kigaidi huko Kenya

-Watu 68 wamefariki hadi sasa
-Zaidi ya magaidi 10 wasemekena kuwepo ndani ya mall
-Obama atuma salamu za rambirambi kwa Wakenya
-Askari wawili 2 wauawa
-"Tumekuja kulipa kisasi", gaidi mmoja alitamka akiwa ndani ya Mall
-Wakenya waendelea kujitolea damu kwaajili ya majeruhi

Views: 559

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by MGAO SIAMINI,P on September 23, 2013 at 21:18

poleni sana wakenya hayo majamaa ni lazima yakamatwe hai tuyape adhabu kali

Comment by Hussein Nkenja on September 23, 2013 at 16:18
Pole ndugu zetu wa Kenya maana matukio kama haya ni mabaya sana
Comment by Wa Kimberly on September 23, 2013 at 9:08
Poleni ndugu zetu wakenya.
Comment by FURAHA ABRAHAM on September 23, 2013 at 8:54

poleni sana kenya mungu yupamoja nanyi

Comment by FURAHA ABRAHAM on September 23, 2013 at 8:53

Comment by Christer on September 23, 2013 at 8:32

Poleni sana Kenya. RIP marehemu wote, Get well soon majeruhi wote.

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*