Tulonge

Dume la Kinaigeria labadilishwa na kuwa mwanamke huko Hispania,sasa laitwa Miss Stephanie.

She was once a guy. He was born Dapo Adaralegbe, but he’s now Stephanie Adaralegbe. Dapo was a popular homosexual law student back in the day in Obafemi Awolowo University but was expelled in 2001 because of his identity crisis. He moved to Spain where he is now living as a woman.

Views: 396

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by jemadari mimi on March 1, 2012 at 17:50

Nawahurumia wazazi wake waliohangaika usiku na mchana kumtafuta lkn matokeo yake wamepata hasara kubwa, nadhani angekuwa kuku wameshamfanya kitoweo

Comment by ILYA on March 1, 2012 at 15:30

Manka @ Duh,yaani limejibadilisha huko chini na (kuweke matiti ya badia) hii ni zaidi ya nouma.

Halafu manka@ kwani chini kunakaa matiti nawe!!!Hahahaahahaa

Comment by manka on March 1, 2012 at 9:38

HUKO CHINI NAKO NADHANI ATAKUWA KABADILISHA, MAANA KUNA DUME JINGINE LA HUKO SPAIN LIMEJIBADILISHA HUKO CHINI NA KUWEKA MATITI YA BANDIA.

Comment by Tulonge on February 29, 2012 at 21:23

Sasa sijui anaona raha gani? Muone sura yake.Namtamani nimchape fimbo hadi alie.

Comment by Mama Malaika on February 29, 2012 at 21:18

Kapendeza kiasi kwamba ukimuangalia ni kama mwanamke wa kawaida tokea zamani. Sasa mtihani unakuja kwenye sauti (alivyosema kaka Eddie). Na sijui huko chini nako kabadirisha?

Comment by eddie on February 29, 2012 at 19:57

Huyu ukipita mipaka yake, ukimsalimia ukijibiwa na sauti kama ya Barry White...utatafuta pa kujificha!!

Comment by manka on February 29, 2012 at 19:33

MWENYEENZI MUNGU TUANGALIE KWA JICHO LA HURUMA MAANA DUNIA YA LEO NI ZADI YA SODOMA.NA WANADAMU WANATUMIA TEKINOLOJIA KUZIDI KUKOSOA UUMBAJI WAKO.

Comment by ILYA on February 29, 2012 at 15:17

Dah,kaumbwa mwanaume hapendi sasa anaamua kumkosoa Mwenyeezi Mungu (s.w) na kumwambia ulitakiwa kuniumba mwanamke,na kwa kuwa hakuumbwa mwanamke anaamua kulazimisha na kutinga kikike kike!!.

Halfu sijaelewa hapo,baada ya dume hili kubadilishwa kuwa mwanamke,huu ubadilishaji ni wa jumlaaaa au wa mandhari ya nje tu?!!!!!

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*