Tulonge

Duuh! Mzee kaingilia kati, lazima mlipe tu

Views: 334

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by MGAO SIAMINI,P on March 16, 2013 at 12:52

MZEE HANA MENO ANAWEZA KUSHINDWA HUO MKWARA

Comment by Omary on March 15, 2013 at 21:33

 ANANGISYE KEFA Maneo yote hayo yanayokutoka kwakuwa hutaki kulipa deni nenda kalipe wewe nguvu zetu hizo naona yanakutoka tu hahahahah dawa ya deni kulipa kama unataka na wewe uzichezee pesa kama JK jitahidi ujiunge na CCM uingie mjengoni na wewe mtu wangu ila lipa deni kwanza

Comment by ANANGISYE KEFA on March 15, 2013 at 16:05

huyo jk huwa anaishia kuongea tu hamna lolote ambalo litafanyika, halafu hizo pesa sisi tumetumia kwa shule tofauti na yeye ambaye anatumia pesa za wavuja jasho kama nauli kwenda marekani kupiga picha na akina 50 cent, kwenda canada kupanda mikokoteni inayovutwa na farasi bila kusahau kule jamaica alikokwenda kubembea kwenye mabembea ya watoto.

Comment by Tulonge on March 15, 2013 at 10:14

Inabidi mjipeleke wenyewe mkalipe, mimi nilisha malizana nao

Comment by Mjata Daffa on March 15, 2013 at 9:58

wengi tu hata mm sijalipa sasa naona vijana tubadilike tulipeni jamani vijana wetu nao wasome tusikae kumlaumu kikwete mwisho wa siku wanaomia ni cc tumuunge mkono tena wala hawakati pesa nying.  

Comment by Tulonge on March 15, 2013 at 9:55

hahahahaaa Kunambi naona umewarahisishia kazi kwa kujitaja mwenyewee, hawatapata shida kukutafuta

Comment by KUNAMBI Jr on March 15, 2013 at 9:45

Daaah mie mpk leo sijalipa

Comment by Tulonge on March 15, 2013 at 9:39

Hapa naona pakujificha hakuna.

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*