Tulonge

Euro 2012: Andrea Pirlo ndiye "Carlsberg Man of The Match" katika mchezo wa Italy na Germany jana.

Mchezaji wa Italy,Andrea Pirlo (kushoto) akipokea zawadi yake baada ya kuwa "Man of the match" katika mchezo wa nusu fainali za Euro 2012 kati ya Italy na Germany. Italy iliibuka na ushindi wa magoli 2-1 na kutinga fainali ambapo itakutana na Spain tarehe 1 July.Kulia ni Peter Schmeichel.

Zifuatazo ni baaadhi ya picha zikimuonesha Pirlo akifanya vitu vyake kwenye mechi hiyo.

Views: 337

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Tulonge on June 29, 2012 at 5:43

Najua fans wengi walidhani Balotelli ndiye atakua man of the match, hongera Pirlo

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*