Tulonge

Euro 2012: Hivi ndivyo Italy ilivyo waua England

Timu ya Soka ya Italy leo imeifungasha virago England baada kuibuka na ushindi wa 4-2 kwa njia ya matuta (penalties). Kwa ujumla Italy walitawala mchezo huo, waliweza peleka mashambulizi langoni mwa England mara kwa mara ukilinganisha na timu pinzani.


Takwimu hizi zinaweza onesha ni jinsi gani Italy walitawala mchezo huo:-

Hadi dakika ya 108.
Ball Possession ( Italy 63% - Engalnd 37%)
Passes Completed (Italy 720 - England 309 )

Mashindano haya yataendelea kama ifuatavyo:-

Views: 190

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Tulonge on June 25, 2012 at 1:31

Hizo mechi za Nusu fainali hazitabiliki. Hapa siwezi tabiri wala nn.

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*