Tulonge

Euro 2012: Ona penati ya ajabu ya Pirlo iliyo wafungasha virago England

Swali la kizushi:
Ni kweli Pirlo alinuia kupiga penalty hii kwa style hiyo? Maana naona alitifua chini, isije ikawa alikosea halafu sisi tunaona penalty ya kitaalam.

Views: 282

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by eddie on June 26, 2012 at 9:25

Penalty aliyopiga Pirlo ni watu wachache wanaiweza hiyo. Mtu wa kwanza kupiga penalty ya mtindo huo anaitwa Panenka. Na alimtundika golie aliyesemekana hafungiki enzi hizo za 1976, Sepp Maier.

http://www.youtube.com/watch?v=Tp2HZNheCZ8&feature=player_detai...

Ndio maana upigaji wa  Penalty wa aina hiyo Europe wanaita Panenka.

 Zidane naye anaziweza hizo pia!!

Comment by ILYA on June 25, 2012 at 15:37

Yaani Pirlo amenikumbusha enzi zangu,penalty kama hizo zama hizo ndio iliyokuwa Style yangu.Enewei kwa wale wapenzi wa England poleni sana,ila siku nyingine mfundisheni huyo Ashley Young, maana hilo shuti lake utadhani alikuwa na bifu na Goalkeeper ,yaani mpaka zile post tatu zinatingishika kwa uzito wa mshoot wake!.

Sisi Portugal kwa raha zetu,mambo yanazidi ku2nyokea kwa uwezo wa God,na sasa tunasubiri kupeleka kilio kule mitaa ya Spain!.Jumatano kitaeleweka!

Comment by Tulonge on June 25, 2012 at 1:44

-Muone kipa alivyo garagara chini halafu mpira ukapita juu yake kidogo, tena taratibuuuu.

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*