Lori moja la kubebea bidhaa ya mafuta ya vyombo vya moto likiwa limeanguka eneo la Kongowe, Kibaha kama lilivyokutwa na mpiga picha jioni ya leo. Wananchi wanaonekana na vyombo vya kubebea, wamelizungukaa kana kwamba hawajali hatari inayoweza kutokea kama zilivyotokea nyingine siku zilizopita. (picha kutoka mdau wa wavuti.com via whatsapp)
Add a Comment
Ni hatari hii moto ukitokea hapo watu watakufa kwani polisi wako wapi? au wameenda kwenye mikutano ya chadema
mwenye ndoo twende ,mwenye bakuri haya, mwenyekupita hakutegemea kunanini twende,
DU HAYO NI MANENEO YA AFRIDY MASAKO WA ITV
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge