Tulonge

Gonjwa lampelekea mtoto wa miaka 14 kuwa na mwili wa mzee

Progeria kama ujulikanavyo kwa kimombo, ni ugonjwa unaomfanya mwili akue kiumri haraka mara 8 zaidi ya ukuaji wa kawaida wa mwanadamu. Pichani ni mtoto Ali Hussain (14) aishie India na wazazi wake ambao wamehangakaika sana juu yake bila mafanikio. Ugonjwa huwapata watu mara chache sana Duniani. Ni takribani watu 80 wameugua ugonjwa huu Dunia nzima. Pia Progeria huambatana na ugonjwa wa moyo, kichwa kutokuoa nywele vema na matatizo ya macho.

Bw. Nabi(50) na Bibi Razia(46) ambao ni wazazi wa Ali, walifanikiwa kupata watoto nane ambao sita kati yao walipatwa na Progeria. Kati ya hao sita, watano walisha fariki na sasa amebaki Ali ambaye anajipa matumani ya kuishi muda mrefu japo madaktari wanasema mara nyingi wagonjwa hao hawawezi kuishi zaidi  ya miaka 14. Watoto wawili kati ya hao nane ambao ni wa kike hawakupatwa na gonjwa hilo, na mmoja wao ameshaolewa.

Ali katika pozi, chezea Ali wewe

Ali na mama yeke, Bi Razia (46)

Ali akilishwa na mama yake

Views: 314

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by MGAO SIAMINI,P on August 29, 2013 at 21:51

duuuu!

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*