Add a Comment
Duh! Kama ndio hivyo basi elimu imeshuka sana Tanzania. Na hao ndio watakuwa viongozi wa hapo baadae, kazi kweli kweli.....
Siku hz wanaingia tu. Mitoto mibongolala kweli, kama wakisema C tatu wasiendelee A level basi wengi watakua mtaani.
Hata hivi vyuo vikuu vya siku hz wanaingia kiulaini tu. Unakuta wanafunzi wa A level wana Division 3 za mwisho kabisa lkn wanapata chance za kuingia vyuo vikuu. Tofauti na enzi zetu, wewe ukipata Div 3 ujiandae kwenda vyuo vya ualimu.
Dismas... yaelekea kiwango cha elimu kimelegezwa sana Tanzania, kipindi nasoma namaliza Secondary School 1980s hutegemei kuingia A Level na C zako tatu kwenye Private Schools.
Lkn dogo hajaharibu sana jamani. Naona ana C zake mbili.Anaweza tafuta C ya tatu akaendelea na masomo ya A level kwenye private schools.
Hahaha.. eti utasikia kamekua DR.... hahahaa.. U dokta wa kupeana washenzi hawa..
Hapo utaambiwa Tanzania elimu imekua kiwango cha juu,watu wanaruka na miswaki tena wa wakubwa.teteteteteete
Wabongo hii kitu ( F ) wanaita mswaki,yaani hapo meno lazima yakomae na kung'aa kama ya Jenifa Lopez.
Gratious huyu hawezi kuchukua medicine course yeyote ya waingereza kwa matokeo hayo, atakimbia chuo mwenyewe labda afanye sana juhudi kwenye masomo na kukesha maana kila mwaka kuna exams na uki-fail tu wafunga virago. Wapo wengi twawaona wanakuja kwa gear za baba zao kwenye vyuo vya waingereza na jasho linawatoka. Ha haa haa haa
Utakasikia kamekuwa DR....huko marekani au wingereza
Kesho utamkuta ni Muhasibu Benki Kuu ya Tz!! Na hapo shuleni alikuwa anasindikiza tu.. akue kama Alfan alivyosema.. na kwa mujibu wa Dis.. hiyo Div - IV ni yakwake pekeyake.. Bonielly jua kuwa binti huyu baba yake ndiye kiongozi wa juu katika taifa letu.. hivyo hata kama ni bogasi alitakiwa ajitahidi kwani matokeo yake ndo kama hivi.. sasa hapa Raisi anatuambia nini ?
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge