Tulonge

Hapa ndipo marehemu Dkt. Mgimwa atakapozikwa

Katibu wa mbunge Dr Wiliam Mgimwa Bw Martine Simangwa akiwaonyesha viongozi  wa  CCM eneo ambalo waziri Mgimwa atazikwa  katika  kijiji  cha Magunga kata  ya Maboga  jimbo la Kalenga. Picha na Francis Godwin.

Makaburi ya familia ya Mgimwa
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Hapa  ndipo  nyumbani  alipozaliwa na alipokuwa akiishi  aliyekuwa  waziri  wa fedha na mbunge wa  jimbo la Kalenga Dr Wiliam Mgimwa na ndipo atazikwa hapa

Hii ndio nyumba ya  waziri wa fedha  Dr Wiliam Mgimwa  iliyopo jimboni Kalenga ambako ndipo alipozaliwa ikiwa na bendera   ikipepea  nusu mlingoti

Hii  ni  nyumba anayoishi mama yake  ambayo  ipo  jirani na yake


Wanachama wa CCM wakibadilisha  bendera  nyumbani kwa aliyekuwa waziri wa fedha  jioni ya  leo .usikose  kujua habari  zaidi  kesho  juu ya maisha ya  waziri Dr Mgimwa. Picha na Francis Godwin

Views: 339

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by David Edson Mayanga on January 3, 2014 at 22:19

RIP MGIMWA

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*