Tulonge

Hapa ndipo Nelson Mandela alipofungwa enzi hizo (picha 3)

Hapa ni jela ya 'Robben Island' ambapo ni moja ya jela kati ya tatu ambazo Nelson Mandela alitumikia kifungoa chake cha miaka 27 hadi alipokuwa huru mwaka 1990. Alianza kutumikia kifungo chake jela ya 'Robben Island', baadae 'Pollsmoor' na kumalizia kifungo chake jela ya 'Victor Verster'.

Hii jela ya Robben kwa nje huko Afrika Kusini

Views: 816

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Samwel Mnubi Masatu on June 19, 2013 at 2:29

ujana wake wote mzee aliumalizia hapa gerezan

Comment by MGAO SIAMINI,P on June 15, 2013 at 15:42

jela za bongo noma

Comment by ANANGISYE KEFA on June 14, 2013 at 17:14

mazingira yanaridhisha, hapo unapokonywa uhuru wako tu.

Comment by Christer on June 14, 2013 at 9:59

Kwa selo za kibongo, hapo Pazuri sana

Comment by Tulonge on June 14, 2013 at 1:58

teh teh teh eti alikula bata

Comment by mathias mwita on June 13, 2013 at 8:34

HAPA MBONA PAZURI, MZEE ALIKUWA ANAKULA BATA SANA,

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*