Tulonge

Jumla ya wanafunzi567567 wamefaulu mtihani wa elimu ya msingi mwaka 2011,Akitangaza matokeo hayo jijini dsm, naibu waziri wa elimu na mafunzo Mhe, philipo mulugu[mb] amesema kiwango cha kufaulu kimeongeza hadi kufikia asilimia 58.28 ukilinganisha na cha mwaka jana,wanafunzi mwaka huu wameoneka kufanya vinzuri ktk masomo ya kiingereza;hisabati,sayansi na huku somo la kiswahili likionekana kuwasumbua.waziri ameongeza kuwa wavulana wamefanya vinzuri mwaka huu kuliko wasichana,wavulana waliofaulu idadi yao ni 287,190 ,kwa upande wa wasichana ni 280,377.

Ikiwa jumla ya wanafuzi waliofanya mtihani huo ni 983,545,Wakati huohuo  baraza la mitihani la taifa limefuta matokeo ya watahiniwa 9,736  sawa na asilimia 1.0 ya waliobainika kufanya udanganyifu wakati wa mtihani huo.

Views: 332

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Bonielly on December 19, 2011 at 16:15

tusiangalie kuwafundisha watoto elimu kama elimu tu mwisho wakaishia kuwa walimu, nyerere alichukuwa mifumo ya china ya umoja na ujamaa kule vitendo ni zaidi kuliko masomo,mtu hajui kingereza wala lugha nyingine ni kichina lkn ni fundi mwisho nasisi hatuna elimu hapa ni blabla zaidi watoto wetu tujaribu kuwafundisha ujasirialia mali, huku wakisoma hiyo elimu ya kufutiana mitihani,

Comment by manka on December 16, 2011 at 19:01

kweli tz bado tunasafari ndefu, sasa hao waliofutiwa wanarudi memkwa au wanaenda wapi sasa.

Comment by Mama Malaika on December 16, 2011 at 16:44

Duh! Hii ni chiboko...

Comment by Dixon Kaishozi on December 16, 2011 at 16:31

yote tisa.. kumi kuna walio faulu lakini WAMEKOSA SHULE ZA KWENDA.. taarifa ya habari TBC1 ya tarehe 15 dec. saa mbili usiku!!!

Comment by Agnes Nyakunga on December 16, 2011 at 9:20

hapo umenena kaka Dis kwani hii inaweza ikawa chanzo kikubwa cha kuongezeka kwa watoto wa mitaani, hapo baraza la mitihani inatakiwa ifanye maamuzi sahihi kupunguza msongamano wa watoto wa mitaani atleast warudie tena shule kuliko kuwaacha hivi hivi.

Comment by ANGELA JULIUS on December 16, 2011 at 8:08

UNAJUA TULONGE NILIJIULIZA AHAO WATOTO WAMEFANYA MISTAKE ZIPI HADI WAFUTIWE MATOKEO NAVOONA HAWAJAWATENDEA HAKI NA KAMA WAMEWAPA ADHABU YA NAMNA HIYO YA KUWAFUTIA MATOKEO NI BORA WAWARUDISHE TENA LA SABA AU WAFANYIWE SPECIAL EXAMINATION KULIKO KUWAACHA JUU JUU TUU. HII NDO SERIKALI YETU SIPENDI KUIONGELEA ZAIDI MANAKE NAWEZA ............................

Comment by Tulonge on December 15, 2011 at 20:12

Sasa hao waliofutiwa matokeo waende wapi? Wamechukua uamuzi gani juu yao? Au wanataka wakawe vibaka? Hao bado watoto, watambue kuwa kuwafutia matokeo yao na kuwaacha hivyo hivyo ni sawa na kuwaharibia maisha yao. Kama vipi waongee na wazazi wao, watozwe faini kimtindo ili waandaliwe mtihani mwingine waufanye chini ya usimamizi mkali. kama wazo langu ni bovu basi watafute njia nyingine lkn siyo kuwafutia matokeo na kuwaacha jinsi walivyo.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*