
Kama inavyoonekana kwenye kiambatanisho hapo juu,kuna mradi umeshatangazwa kwa kujenda Bomba la kusafirisha gesi kutoka Mnazi Bay Mkoani Mtwara na Somanga Fungu Plant Mpaka Dar es salaam kwa Kilometa 540,ninachojivunia sasa Plant ya kuzalisha na kusafirisha gesi Mkoani Mtwara tayari imeshanunuliwa na Tanzania kupitia Kampuni tanzu ya Tanesco ambayo ni mdau mkubwa nchini wa Kuzalisha,Kusafirisha,kusambaza na kuuza umeme nchini,kwa kweli kiwango cha gesi kinachozaliwa hapo na waliokua Former Holder kampuni ya Artmus imeshapigwa chini,sasa tusubiri maendeleo
Swali, je wananchi wa mkoani Lindi na Mtwara wananufaika vipi na utajiri wa gesi na mafuta yanayozalishwa mikoani mwao?
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge