Tulonge

Hii ni moja kati ya picha za awali kabisa baada ya mlipuko wa bomu kutokea kanisani Arusha

Huu huwa ni wakati mgumu sana, kila mtu hutafuta namna ya kuokoa uhai wake. Unaweza ukachanganyikiwa na kusahau hata mtoto wako. Tazama watu walivyo poteza fahamu hapo chini , akiwemo mtoto mdogo hapo katikati.Inasikitisha sana.

Views: 638

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Christer on May 8, 2013 at 12:12

OMG. Eeh Mungu rudisha Amani ya nchi yetu.

Comment by Efraem Solomon on May 6, 2013 at 12:29
Masikini tutaogopa kwenda makanisani sasa.poleni sana waathirika.
Comment by MGAO SIAMINI,P on May 6, 2013 at 12:19

The hell @D HAINA KUHOJI

Comment by Tulonge on May 6, 2013 at 0:52

Hata sielewi tunapoelekea...

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*