Tulonge

Hili ndilo onyo la Mahakama kuu ya Tanzania kwa Madaktari kuhusu mgomo.

Mahakama kuu ya Tanzania Kitengo cha kazi leo kimetoa onyo kwa Chama cha Madaktari Nchini (MAT) kuzingatia amri ya Mahakama hiyo iliyotolewa siku ya Ijumaa tarehe 22 Juni 2012 ya kusitisha na kutoshiriki katika mgomo na kumtaka Rais wa Chama cha Madaktari kutangaza kutii amri hiyo kupitia vyombo vya habari.

Chanzo: issamichuzi blog.

Views: 257

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Jeathvin Safaris on June 26, 2012 at 23:56

kwa kweli hiyo taarifa ya mahakama ya makaratasi inaonyesha ni jinsi gani sheria ya uingereza inafanya kazi....tusubiri hayo maamuzi...

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*