Tulonge

Huwezi amini kama hii njemba shoga, ni Jason Collins 'NBA player'.

Huyu ndiye Jason Collins, mcheza kikapu wa kulipwa wa ligi ya kikapu huko Marekani NBA ambaye jana amejitangaza kuwa ni SHOGA. Ana miaka 34, amecheza kikapu kwa miaka 11 hadi sasa. Ana pacha wake ambaye hakuwahi kuhisi kuwa Jason ni Shoga hadi alipojitangaza

Views: 1351

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by william massawe on May 23, 2013 at 12:12

DU!!!!....Senge babe!!!!!!!!!!

Comment by manka on May 14, 2013 at 14:26

ptuuu!! Mungu pitisha mbali,.hivi hakuna dawa ya kufanya hao waliozaliwa na homons za kike wawe na za kiume? na inakuwaje hadi binadamu aone sehemu ya haja kubwa ni sehemu ya kumalizia haja za mapenzi? jamani ptuu me huwa napata baridi yabisi nikisikia habari za namna hii.

Comment by ILYA on May 8, 2013 at 22:51

Ushoga noma,lakinini noma kwetuAfrica,ama huko majuu ushoga dili,usipojitangaza utakosa soka,inabidi kama hivyo unachangamka kwa kujiweka wazi ili wamiminike wajanja!.Najivunia kuwa Mwafrica wa Bara la Africa hasa Mtanzania maana huo uchafu sio utamaduni wetu Africa!.

Comment by Dixon Kaishozi on May 3, 2013 at 8:43

Jitu kubwa kumbe ubwabwa!!! Pumbafu!!!

Comment by Mama Malaika on May 2, 2013 at 17:39
I strongly agree with you Mgao kuwa homosexual ni biological, na scientists wanasema kuwa homosexual wa kuzaliwa huwezi mgeuza hata umfanye nini. Kitu kikubwa ni kuomba Mungu unapozaa mtoto awe straight. Tatizo wengine wanazaliwa kawaida ila wanalawitiwa utotoni kisiri siri na hawasemi kwa mzazi na kuendelea mchezo huo ukubwani.
Cha kushangza habari iliyovuma ya ushoga ni ya Jason Collins peke yake lakini ya Senator Kevin wa Nevada ihaijaongelewa sana mitandaoni
http://www.usatoday.com/story/news/politics/2013/04/23/nevada-gay-m...
Comment by ANGELA JULIUS on May 2, 2013 at 15:42

kweli kabisa Mjata ulichosema bravoooo

Comment by MGAO SIAMINI,P on May 2, 2013 at 14:51

hizi tabia kitaalamu ni mchezo wa homoni wengine wanazaliwa wakiwa na ashki za kike na tabia za kike,kila jinsia inatabia zake zikiongozwa na homoni za jinsia hiyo.wanao niudhi ni wale wanaoiga au kufundishwa mwishowe inakua tabia hiyo ya ushoga.Tabia ya ushoga ni mbaya waafrika tuikatae

Comment by KUNAMBI Jr on May 2, 2013 at 14:02

duuuh kwa hiyo wenzie wanamhemea kisogoni mshkaji aiiiyaaaaa

Comment by ANGELA JULIUS on May 2, 2013 at 12:44

Mjata ndugu yangu kiukweli huu mpango mzima wa mwanaume kuwa bwabwa kiukweli hauniingii akilini yani nimebaki kuduwaa kweli watu hatumuogopi Mungu.

Comment by Mama Malaika on May 2, 2013 at 10:22
Ushoga haukuanza leo, umekuwepo kimya kimya miaka kenda rudi hata Kabaka wa Uganda alikuwa shoga enzi hizo. Upande wangu naona bora huyu bwana kajisema hadharani kuliki wale tunaoishi nao mitaani hatuwajui na wanalawiti vijana wetu kimya kimya kama imevyokuwa ikitokea mikoa ya Pwani

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*