Tulonge

Huyu dereva wa basi alikuwa kavuta bangi nadhani.....

Views: 539

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Alfan Mlali on March 15, 2012 at 18:03

@ mama Malaika tena faini yenyewe haizidi hata laki moja!!!

Comment by Alfan Mlali on March 15, 2012 at 18:02

Dismas hiyo kweli kabisa si unaona mwenyewe jamaa anaingia kulia kama anaovateki kisha anarudi kushoto iliko baiskeli tena kwa spidi na kumburuza jamaa...

@ Bonieli inawezeka ni kweli alikuwa na kisa naye na alitaka amfanyizie kama hivyo uila asife maana angekuwa na nia ya kumuua angemgonga kwa "nyuma" ( msifikirie hivyo mlivyofikiria)..!!

Comment by Bonielly on March 14, 2012 at 12:48

alikuwa na kisa nae huyo mwenye baiskeli alikuwa anasubiri aingie kwenye site, mala mwenye baiskeli kajaa, atakua alimtukana walikotoka huko,

Comment by Tulonge on March 14, 2012 at 0:22

Nashindwa kuamini kama hii ni kweli. Kama ni kweli basi huyo dereva lazima atakua ni mvuta bangi, tena anavuta bangi mbichi bila kukausha.

Comment by ILYA on March 14, 2012 at 0:03

Dereva kama huyu balaa tu!

Comment by Mama Malaika on March 13, 2012 at 20:03

@ Mazeejoh... I strongly agree with you. 

Alfan... huyu jamaa wa baiskeli kitu muhimu amenuthurika kufa na suala la pesa atalipwa iwapo alichukua insurance. Na huyo wa daladala akitoka jela atashika adabu yake na hilo daladala hatolitaka tena. Huo ndio uzuri wa waingereza ukifanya kosa la barabarani na ukashikwa kijasho cha kwenye makalio kitakutoka. Na hii miesaidia sana drivers wanakuwa na adabu na ajali si nyingi ingawa kuna magari mengi. Angekuwa Tanzania huyo wa daladala angelipishwa fine tu na kesho yake siajabu angekuwa barabarani na daladala lake anachomekea kwenye magari ya watu na kuwatukana.

Comment by Alfan Mlali on March 13, 2012 at 19:22

@Mama Malaika jamaa wa baiskeli atakuwa alipata majeraha makubwa sana na alistahili kulipwa fidia kubwa.

Comment by Alfan Mlali on March 13, 2012 at 19:21

Umezungumza kitu cha msingi sana Mazeejoh....Siku zote anayeshindwa kuzizuia hasira zake huwa anaishia pabaya sana...Huyu jamaa nimesoma sehemu kuwa alihukumiwa kwenda jela miaka 17 kwa kosa hilo la kijinga alilofanya!!!

Comment by Mazeejoh on March 13, 2012 at 19:16

Mara nyingi kitu hasira ikiingia labor huzaa hazara, umekosa sana basi hasara mapacha. Kweli mwenye baiskeli ka kukera kungangania site siyo yake, ukamkwepa kiungwana na kiuzalendo kabisa...lakini mimba ya hasira ukaitunga kwamba jamaa ataringa sana na kujisikia born town sana sasa ngoja nizae..ukaingia labor (ajali). Sasa angalia unakuja kuzaa mapacha hasara...jela unaenda na kilio umeacha... On the other hand kuna kila sababu ya kusensitise jamii juu ya kujicontrol na kufanya maamuzi ya hekima katika jamii yetu iliyozungukwa na so many death tickets kama piki piki, bajaj, baiskeli, maguta nk. Hakika huwa wanawapa sababu waendesha magari kwa kuchomekea ki hasara bil kusahau kuacha literature ndogo ya kamusi za matusi hata kama kosa lao. Serikali inapaswa kuwatenganisha kwa kujenga ama kurekebisha service roads ili kusiwe na mashindano ya nani mwenye haki kuliko mwingine.

Comment by Mama Malaika on March 13, 2012 at 19:08

Hii chiboko, huyu wa daladala hana subira. Jamaa atakuwa kaumia sana

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*