Tulonge

Huyu ndiye binti anayeshika Rekodi ya Guinness kwa kuwa na ulimi mrefu(video)

Msichana Chanel Tapper, 21 wa Houston huko Us amethibitika kuwa ndiye msichana mwenye ulimi mrefu kuliko wote Duniani na kuingizwa katika rekodi za Guinness.

Mwezi September 2011 alialikwa na Guinness huko Los Angeles na kupimwa urefu wa ulimi wake ambapo ulithibitika kuwa na urefu wa sm9.7 na kuwashinda wapinzani wake wawili.

Alieleza kuwa haoni tabu yoyote kuwa hivyo bali anachukulia kama kitu cha kufurahisha.

Views: 1570

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by MGAO SIAMINI,P on March 8, 2013 at 10:35

UMEONA EEEEH!@GEORGIA@CHRISTER@D

Comment by ANGELA JULIUS on March 6, 2013 at 14:33

DAH ILA YUPO SO CUTE, YOTE MAUMBILE AMBAYO MUNGU AMETUUMBA NAYO YATUPASA KUMSHUKURU

Comment by Georgia Mushashu on March 5, 2013 at 10:45

Mgao na wewe noumer akikupa ulimi huyo utausikilizia kooni mwako lol!!

Comment by Christer on March 5, 2013 at 8:10

Hahahahhhahhaahahahahahahaahahaaaaaaaaaaaaaaa @ Mgao!

Comment by Tulonge on March 4, 2013 at 22:15

Hahahahahhaaa eti unaweza fikiri umepambana na nyoka mdomoni@ Mgao

Comment by ANANGISYE KEFA on March 4, 2013 at 17:34

duuuuuuu............!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Comment by MGAO SIAMINI,P on March 4, 2013 at 13:36

yale mambo ya wet kiss si unawezafikiri umepambana na nyoka mdomoni

Comment by Georgia Mushashu on March 4, 2013 at 8:59

We Dis nae eti unakaaje. Unakaa kama ulimi wa kawaida na haujazi ila akiutoa nje ndo unauona urefu wake navyodhani mie

Comment by Tulonge on March 4, 2013 at 3:09

Sijui huo ulimi unakaaje huko mdomoni. Si unaweza ukajaza mdomo?

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*