Yasemekana alitoroka akiwa mbele ya macho ya vikosi vya ulinzi vya kenya bila wao kumtambua.
Habari hii imeandikwa kwenye tovuti ya The Kenyan Daily Post ikidai kuwa huyu ndiye Samantha Lewthwaite ambaye ni gaidi wa kike ambaye alitoroka kwa ujanja wa kumsaidia mateka mmoja bila vikosi vya ulinzi vya Kenya kutamtambua. Alipohakikisha jengo lipo katika himaya ya vijana wake (magaidi), ndipo alipoamua kutoroka kijanja saa 1 baadae.
Hata hivyo habari hii ilipingwa vilivyo na wadau wakidai kumfahamu huyu mwanake na wala si Samantha. Japo wapo baadhi waliotetea kuwa ni yeye.
Add a Comment
Mwanamke na POCHI bwana!!! Tehe.. na kuumia kote huko lakini "kipimajoto" hakitoki kwapani... Pole sana..
Mama huyo Samatha ni wifi yako nini? maana unamfahamu A-Z teh teh teh teh
gaidi ni mtu ambaye hujiandaa kwa mbinu zote anazofikiri zitamsaidia kutimizaa azma yake, hivyo sishangai sana huyu mwanamke kwa mbinu aliyoitumia!!! chamsingi vyombo vya usalama vya kenya na duniani kwa ujumla vinatakiwa kuwa makini na kuwa full equiped na all possible techniques kukabiliana na watu hao wabaya waliojikatia tamaa na kuamua kudhuru maisha ya wengine huku wao wakifiri ni ufahari!!!! Wakenya wote na mataifa mengine yaliyoathiriwa na tukio hilo la kigaidi nawapa pole sana na majeruhi nawaombea wapate nafuu na hatimaye kupona majeraha hayo mabaya!!! May God Bless you ALL and May you recover quickly from all the wounds an whatsoever pain youmay have!
na kwa vile mle ndani pia kuna maduka ya nguo hao magaidi wanaweza kubadilisha nguo wakatoka humo ndani bila hata hao wananjeshi kuwajua wakijidai kuchoka sana tena watatumia hao mateka kuondoka, hizo ni hisia zangu na maoni yangu.
mh ngumu kucomment labda badaye kidogo
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge