Tulonge

INDIA: Wabunge watatu wabambwa wakiangalia picha za ngono ndani ya Bunge.

Laxman Savadi, the Karnataka state Co-operative Minister and CC Patil, the Karnataka Women and Child Welfare Minister


Three Indian politicians have resigned after being caught watching pornography on a mobile phone during a session of state parliament.

All three were from a morally conservative party - and one was a women's affairs minister.

News channels broadcast footage showing Karnataka state Minister for Cooperation Laxman Savadi sharing a porn clip with his colleague CC Patil, the minister for women and child development, while sitting in the state assembly.

The owner of the phone, state Minister for Ports, Science and Technology Krishna Palemar, also quit.

"We are requesting the honourable Speaker of the House to conduct an inquiry and we'll come out with a clean chit," Mr Patil said, denying that they were deliberately looking at porn.

The three men said they did not want to cause any embarrassment for their party, the Hindu nationalist Bharatiya Janata Party (BJP), which rules the state and is in opposition at a national level.

Views: 1562

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Alfan Mlali on February 14, 2012 at 16:35

Hahahhaaha.. lakini huo ni uhuru wa kutimia simu zao wapendavyo jamani wanawaandama bure tu...Si bora hao wanaoangalia hizo kidogo then wanafuatilia vikao vya bunge kuliko wabunge watanzania wanaopiga mbonji mjengoni mwanzo mwisho???!!

Comment by Bonielly on February 10, 2012 at 10:48

sasa na hawa wazee hawajui kwamba bunge linaheshima yake?

Comment by Mama Malaika on February 10, 2012 at 0:45

huko ndio kwenyewe IL-YA for sex tourism, na kuna networks humo India ambazo viongozi wanajihusisha kulinda na kukuza biashara hiyo kiasi kwamba imekuwa vigumu kwa Indian government kufuta biashara hiyo haramu. Thailand inafatia kwa biashara ya ngono kufatia Cambodia na nchi nyinginezo za Asia.

Yasemekana karibu watoto 1.2mil walio chini ya umri wa miaka 10 wanahusishwa kwenye biashara hiyo haramu, na watoto wa kiume pia nao wamo wadogo wanauzwa kama cheese (na wanaume wamiliki madangulo) hadi huruma.

Comment by ILYA on February 10, 2012 at 0:25

Aaaaaaa Mkwe kumbe wanauza miili,itabidi ninunue basi ili niwe na spea,leo natinga mwili huu kesho nachomoa,na tinga mwingine,hahahahahahah

Comment by Mama Malaika on February 10, 2012 at 0:12

Dismas..... Ha haa haa haa haa haa haaaaa.

Comment by Mama Malaika on February 10, 2012 at 0:10

Huyo waziri wa wanawake na maendeleo ya watoto aliyejiuzulu kawatia aibu sana chama chake cha BJP

Comment by Tulonge on February 10, 2012 at 0:09

Hata Alfan na Kunambi wangekuwa wabunge wangefanya hv hv hahhahahaaaa

Comment by Mama Malaika on February 10, 2012 at 0:06

Yaani hii ni aibu na kashfa kubwa sana hasa ukizingatia INDIA ndio nchi inayoongoza kwa kuuza miili na madangulo ya mabinti (under age) duniani, na Indian government iko kwenye vita kali kupambana na biashara ya kuuza miili ili kusafisha sura ya nchi yao kimataifa.

Comment by ILYA on February 9, 2012 at 23:34

Hawa wamelidhalilisha bunge,yaani wamelifanya kuwa bunge la kutizamia porno badala ya kujadili maendeleo ya nchi.Itabidi waje waniombe samahani hapa.Hahahaaha

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*