Tulonge

IRAN: Mchungaji ahukumiwa adhabu ya kifo kwa kubadili dini kutoka uislam kwenda ukristo, na kukataa kuurudia uislam alipo amriwa kufanya hivyo.

Facing execution Youcef Nadarkhani with his wife and two children in

an undated photograph circulated by religious rights organisations

A Christian pastor who converted from Islam is to be put to death for leaving Islam following the ruling of an Iranian court, it was reported today.

Youcef Nadarkhani, 34, was arrested more than two years ago on charges of apostasy, and has now been sentenced to death by an Iranian court for refusing to renounce his Christianity, according to the pastor's legal team.

The father-of-two had defied a request by the Gilan provincial court, in Rasht, Iran, to repent, and now faces death by hanging.

Mr Nadarkhani may be executed at any time without warning, as death sentences in Iran can be carried out immediately or dragged out for years.

If the execution goes ahead he would be the first Christian to be officially executed in Iran for religious reasons in 20 years.

The married father-of-two was detained in his home city of Rasht in October 2009, while attempting to register his church.

Supporters of the pastor say he was arrested after questioning the Muslim monopoly on the religious instruction of children in Iran.

Critics have said the execution could be seen as a form of defiance at
Western sanctions against Iran in the row over its nuclear agenda.

Jordan Sekulow, executive director of The American Center for Law and Justice (ACLJ), told Fox News: 'This is defiance. They want to say they will carry out what they say they will do.

'The world needs to stand up and say that a man cannot be put to death because of his faith.

U.S. Secretary of State Hillary Clinton, along with the European Union, France, Great Britain, Mexico and Germany, has condemned Iran for arresting Mr Nadarkhani

Chanzo: http://www.dailymail.co.uk

Views: 786

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by ILYA on February 24, 2012 at 23:06

Nikweli kabisa tuombe Mungu huu udini kama huu usifike huko kwetu Tanzania, kama vile Marekani kuchoma Qur'an za Waislam,au Canada kumchora Mtume Muhammad (s.a.w.w) katika makatuni.Huu nao ni udini kama ambavyo news hii imeonekana kuwa ni udini ingawa si kweli bali ni propaganda za media za Magharibi dhidi ya Iran ukizingatia IRAN NA WEST haziwezi kusifiana kwa ya mema tofauti na kujengeana chuki za miaka nenda rudi na kutengnezeana habari za uongo.

Chukui zao sasa naona wanaanza kuzielekeza kwenye dini na Imani za watu.

Huu ni udini tu na haufai na unatakiwa kuonwa na watu na si kuonwa tu basi bali pia kuukemea na sio kuubariki,maana huko tunakoelekea ni pabaya hasa pale pindi  waislaam nao watakapo amua Kureact na  kuyahami matukufu yao ya kiislaam kwa maana ya kuyahami.

leo hii anayetaka kuwa Rais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican Newt Gingrich anamlaumu Obama kwanini anawaomba Waislaam msamaha wa Marekani kuzichoma Qur'an.

"Anasema hawatakiwi kuombwa msamaha" na Obama kakosea kuomba msamaha.

Tazama hii news:

Gingrich blasts Obama's apology to Afghans over Qur'an desecration:http://www.presstv.ir/detail/228372.html.Hiyo ndiyo Marekani,Ingelikuwa Iran ndio imefanya kitendo hicho Eddie hapa sijui angelikuwa na Maoni yapi.!!!

Comment by eddie on February 24, 2012 at 22:14

Ni kweli dada hata mimi naomba Mungu yasifike haya mambo ya udini.

Maana kuna wengine inaonyesha wanaiga na wanaweka mbele complex zao badala ya utu utafikiri wao ndio waumba!!

Comment by Mama Malaika on February 24, 2012 at 20:11

Hii habari imekuwepo magazetini na sio gazeti moja tu, na pia ilikuwepo kwenye TV. Namuonea huruma sana huyu bwana na familia yake

Naomba Mungu mambo haya ya udini yasifike Tanzania

Comment by Mama Malaika on February 24, 2012 at 20:07

Dunia yetu tunayoishi sasa kazi kweli kweli.... imefikia wakati watu wanakimbia maeneo yao kisa hawana uhuru wa kuabudu dini wanazopenda wao. Huko Indonesia imefikia hadi kuna maeneo mtu wa dini fulani hawezi kaa, imekuwa chuki chuki kisa watu wana dini tofauti.

Hapa UK kuna watu tena wengine ni wazazi wanahukumiwa vifungo vya maisha jela na Mahakama kila mwaka kwa kuua family members (watoto wao wa kuzaa wenyewe) eti kisa wamebadili dini toka uislam na kuwa wakristo. Wao wanaita "Honour Killing", hivi kweli hizi dini zafundisha upendo au mafarakano?

Comment by ILYA on February 24, 2012 at 16:08

Eddie@ Acha kukurupuka wewe mkuu,namna hiyo unaboa kimtindo.Tazama umeandika nini hapo chini ati kila mtu na mawazo yake....!!!Nani asiyelijua hilo humu Tulonge.

Hujakatazwa kuwa na maoni yako hapa mheshimiwa,kuwa na maoni kuanzia asubuhi hadi jioni unavyotaka,lakini unachombwa hapa uzungumze kilogic,maoni yawe ya kushiba,ulete maoni lakini yawe na logic,yaani  maoni yaliyobora sio bora maoni.!!

Ukikosa maoni ya kimantiki utarekebishwa na kuelekezwa jinsi ya kujenga pointi za kiakili kuhusu mambo haya.Na hapo sidhani kwamba unakatazwa kutoa maoni.Maoni yako kurekebishwa haina maana umekatazwa kutoa maoni.

Jaribu kuelewa na kufahamu,acha ukurupukaji na kuandika pumba.Mada inahusu mchungaji,lete pointi hapa uthibitishe kuwa kuwa hiyo news ya kweli na kwamba mimi nilivyofunguka sio sahihi.funguka bingwa acha kufunga funga ibara.Hapa tunajadili,tunadiscuss,tunabadilishana mawazo na kuelimishana.

Mara nyingi wewe unapoona huna pointi za kilogic kuelekea mada husika huwa unakimbilia kusema:Oooo mambo yenyewe hayatuhusu,sijui bendera kufuata upepo, ooo sijui gazeti,sijui nini na  nini  ......mambo kibao tu kiaina.

Sasa kama unajua mambo yenyewe hayakuhusu zaidi  kwanini umekuja kujadili hapa,kwanini hujakaa kimya kama wengine walioipotezea News hii.Huwezi kusoma gazeti unaminya pembeni mkubwa.Kaka Tulonge kaniomba nifunguke kuhusu hili nikafunguka.Wewe umenipinga nilivyofunguka.sasa njoo tuendelee kuwekana wazi kipointi.

Wanasema: "Maji ukiyavulia lazima uyaoge,ulivua nguo za nini".

Endelea kuoga mzazi,sasa hivi baada ya kuona huna tena pointi za kiakili tofauti na pumba ndio umekumbuka kuwa:unahitaji usiwe bendera fata upepo kama unavyojieleza hapo chini!.Ina maana hapo mwanzo hukulijua hilo.??!!

Umejileta mwenyewe katika mjadala huu,hivyo nazidi kukuuliza swali langu:
Iran ingelichoma Bibilia au kitabu chochote cha dini zingine,hizo nchi za west na Marekani zingenyamaza au zingetoa kauli ya kukemea kitendo hicho na kuiponda Iran?????

Comment by ILYA on February 24, 2012 at 14:18

Eddie @ ngoja nikusaidie kauli ya Rais wa Afganistan:

"Rais Hamid Karzai wa Afghanistan amemtaja afisa mmoja wa jeshi la Marekani kuwa ndiye aliyehusika na kitendo cha kuchomwa moto Qur'ani Tukufu katika kituo cha anga cha Bagram. "

http://kiswahili.irib.ir/index.php?option=com_content&view=arti...

Halafu wewe unakurupuka na kusema:

"Nchi za west Wanajua kuna fanatics ambao wako tayari kuchoma bila subira mara wanapoona mambo yao hayafagiliwi ....!!

Sasa unataka kuniambia Afisa huyu aliyehusika na hao wanajeshi waliohusika kuchoma hizo Qur'an ni walokole wasiokuwa na subira????????????????!!!!!!!!!!!!acha kukurupuka kaka.

Comment by ILYA on February 24, 2012 at 14:10

Eddie@:Unasema: Nchi za west wanajua kwamba, "SILENCE IS GOLD"

Hivyo mbona zinapayuka payuka sasa kuhusu mambo ya Iran ikiwa zinanyamazia jinai zao dhidi ya Faith za dini zingine.???

Kwa hiyo kupayuka kwa nchi hizo kuhusu Iran huku zikinyamazia dharau zao dhidi ya Uislaam,zinataka dunia ijifunze nini na ifaidike na nini kuhusu kupayuka kwake dhidi ya Iran kusikokuwa na na malengo yoyote ya kumtetea mwanadamu tofauti na siasa za kiadui tu???.Hayo ndio maswali unatakiw akujibu hapa sio unakurupuka kukwepa maswali yangu.kama una majibu ya kiakili si ujibu weye.

Nimekuuliza swali: Iran ingelichoma Bibilia au kitabu chochote cha dini zingine,hizo nchi za west na Marekani zingenyamaza au zingetoa kauli ya kukemea kitendo hicho na kuiponda Iran?????

Ujibu kilogic mkuu uache kukurupa na kusema ati "Nchi za west wanajua kwamba, "SILENCE IS GOLD".

Hivi mbona unashindwa kuchunguza Coment zako na kuziweka Kilogic zaidi.unajivunia ukurupakaji mkuu.Hhahahaha.We ni NoUmA.!!

Comment by ILYA on February 24, 2012 at 12:59

Mkuu Eddie@Nielewe bingwa:  Hapa mimi najaribu kuweka sawa pointi na kufunguka zaidi ili watu wajue kulinganisha mambo haya na kuyapatia jibu kwa kuipa nafasi kubwa zaidi akili itafakari na sio kuinyima uhuru wake wa kufanya kazi.

Habari ya mchungaji hii haitofautiani na habari Marekani kuichoma Qur'an maana zote mbili zinahusu masuala ya dini.Sasa tunataka kauli ya kukondemn ya marekani hasa ya Mheshimiwa Clinton na chi hizo zilizotajwa.Kwa nini zinyamazie habari ya kuchoma Qur'an the zilivalie njuga suala la uongo la ati Iran kumhukumu Mtu aliyeamua kwa akili yake kuchagua dini anayoitaka????na mtu mwenyewe sio kichaa ana akili timamu>????!!!Naamini sisi ni wasomi akili zetu ziko huru kuelewa mamambo haya,tuweke upofu pembeni tuchambue mambo kisomi zaidi.Hii ndio maana ya kusoma na kuelimika,tusiwekubali mwandishi wa kuteka akili zetu,bali tuchunguze je jambo hili linaingia akili au ni la kisiasa zaidi.Hii ndio njia pekee ya kukabiliana na kila News au makala au fikra ya vyombo hivi vya Media vyovyote au magazeti yoyote au mitandao yoyote inayodai kuwa ipo huru kikazi kwa ajili ya kuongea na jamii ya mwanadamu na kuipasha habari.

Comment by ILYA on February 24, 2012 at 12:37

Eddie@ mbona huelewi,unakurupuka kaka.!!!

Sijasema Obama hakuapologize bali hata kiongozi wa vikosi vya Nato Nato kapologize kabla ya Obama,ninachokisema mimi:Niletee kauli ya Clinton au leta hata Obama akiilaumu Marekani kufanya vitendo vya kijuba vya  kudharau matukufu ya dini ya Waislaam vinavyojikariri kila mara hasa vya kuichoma Qur'an-Kitabu cha Mungu.

Halafu Eddie@: "kuapologize" ni tofauti  kabisa na "Kucondemn".Au huelewi kama misimamo hii miwili ina utofauti.??

Swali: Kwani Rais Obama au Hillary Clinton kutumia Lugha ya Kucondemn wanajeshi wa Marekani kama viongozi wa nchi zingine walivyofanya inashindikana??!! Na usidhani hii ni mara ya kwanza kwa Marekani kuzichoma Qur'an za Waislaam,na hatuoni mataifa ya Magharibi au hata hiyo marekani ikitumia lugha ya kukemea tofauti na kusema tunaomba samahani kw akitendo hicho.!!Hii ina maana gani.

Swali: "Iran ikichoma mfano Bibili leo hii", au kitabu chochote kile cha dini zingine,Marekani na nchi za Magharibi zitakaa kimya?!!! Swali hilo Eddie lete jibu.Think na jibu,usikurupuke.

Comment by ILYA on February 24, 2012 at 11:35

Eddie @ hapa hatupeleki maudhuu kikukurupuka bali kiuchambuzi zaidi:Na njoo na pointi za kiakili uthibitishe mawazo yako.Una maarifa pungufu kuhusu Iran au kuhusu siasa hizi zilizopo bain aya Iran na Mataifa ya Magharibi.Hivyo mtu kama wewe utakurupuka tu.Na ndio maana nikasema hivi:

Natoa zawadi nono milioni 5 za kibongo (tena naapa kwa jina la Mungu Muumba ) kwa atakayeniletea hapa Tulonge kauli ya Mheshimiwa Hillary Clinton akicondemn na kuwalaumu Askari wake wa Marekani waliochoma Moto nakala hizo za Qur'an Tukufu na kukisifu kitendo hicho kuwa sio cha kibinadamu.

Au kauli ya European Union, France, Great Britain, Mexico and Germany, wakiilaumu Mareakani kwa vitendo vyake vya kuichoma Qur'an ya waislam!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.

Natoa hata namba yangu ya simu: +989190653750.

Nadhani unajua kusoma:Tazama link hii:http://www.presstv.ir/detail/228301.html:OIC slams Qur’an burning at US base in Afghanistan.

Kavae miwani Eddie kama huwezi kusoma magazeti.Hahahaha

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*