Tulonge

IRAN: Serikali ya Iran yasitisha matumizi ya "Internet".

Iran has demonstrated further evidence of its strict regime after the government cut internet links leaving millions without email and social networks.

Interestingly, the shutdown comes at a time when inhabitants are preparing to celebrate the 33rd anniversary of the Islamic Revolution, with rumours of anti-government protests also planned.

But some internet boffins are rising above the crackdown, and accessing the web by using proxy servers over VPN connections.

Gmail, Google and Yahoo are all thought to have been restricted, and users have been unable to log in to their online banking.

'The interesting thing is that when asked, they deny the fact that all these services are all blocked,' an Iranian contacted by CNET said.

'I don't know the the infrastructure that they will use but I don't think we have a way out of that one.
Only last month, Mail Online reported how two Iranian bloggers had been captured and set to be executed, accused of 'spreading corruption' ahead of the parliamentary elections.

Four journalist were also arrested as Tehran cracked down on freedom of expression - much to the dismay of the Western world.

Also last month, the country's Information Minister announced plans for a goverment-run intranet, giving the state the upper hand in its cyber-battle with opponents.

Views: 429

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by manka on February 17, 2012 at 13:28

ilya nimekusoma kaka, na nimeamini bado mna accses na net.

Comment by ILYA on February 15, 2012 at 22:01

Mkwe kila kitu ni poa.

Comment by Mama Malaika on February 15, 2012 at 21:33

Ha haa haaa... IL-YA ingawa sijasoma comments zako lakini uwepo wako tu umetuhakikishia net bado ipo. Twafurahi kukuona... Ha haa haaa

Mambo vipi lakini? 

Comment by ILYA on February 15, 2012 at 21:30

Hahahah kaka Eddie si kwamba nilikuwa kimya ati kwa kukatwa internet bali sema nilikuwa safari na niliaga hapa Tulonge kuwa sitakuwepo kwa wiki hii,nadhani Tulonge anaweza kuthibitisha hilo zaidi.nilikwenda mji unaitwa Mash-had mji wa kihistoria huu unaopatikana kwenye kurasa za kihistoria zaidi,maeneo hayo watu wengi humiminika kuja kucheki mambo kadhaa ya kihistoria,wafalme kadhaa wa miaka hiyo kabla ya dunia kugawanyishwa na kabla ya dunia kuwa na mabara sita wao walikuwa wakitawala maeneo haya ya mashariki ya kati ukiwemo mji huu wa mash-had,hivyo nilikuwa nimetimia maguu katika jiji hili ili kula nyoma choma kama kawaida yangu.zaidi ya hilo ni propaganda tu za watu ambao wako dhidi ya Iran wani internet safi tu na inazidi kusonga mbele,watu wengi hapa Iran huendesha maisha yao kwa ajili ya kitu internet tu,wana mifamilia mikubwa mikubwa na wanaiendesha kupitia teknolojia hii ya internet,sasa serikali haiwezi kukata internet maana hiyo ni sawa na kumwaga unga wa wananchi wako.pia Iran haiko tayari kuzima freedom ya kujieleza kupitia njia hizo na istoshe si wananchi tu wa iran wanaotumia internet bali hata watu wa serikali ambao asubihi  wako maofisi ya serikali na jioni nyumbani wanahitajia bado internet kwao ni muhimu kama watu wa kawaida,so si sahihi ati Iran imefunga Inteernet kwani kungelikuwa na haja ya kufanya hivyo wangelifunga zamani miaka hiyo walipokuwa wakiandamwa kiadui na mataifa ya magharibi kupitia Saddam Husein wakimpa kila aina ya silaha ili aipige Iran.zama hizo internet haikukatwa Iran, itakuwaje zama hizi nchi inajiamini kijeshi kuymzabua yeyote atakayejaribu kujipendekeza kuishambulia???.

Comment by Tulonge on February 15, 2012 at 20:45

Duuh! Ilya ni noma. Inaelekea kwenye mtihani huwa unatumia zaidi ya booklet 5 kwa mtihani mmoja. Tunashukuru kwa maelezo ya kina mkuu Ilya.

Comment by eddie on February 15, 2012 at 19:41

Welcome back Ilya.....nilikuwa na wasiwasi huenda umekuweka under net restriction!

Ukimya wako kwa njia moja au ingine imetufanya tujiulize maswali kwamba kinachosemwa kwamba net imewekewa wingu ni kweli!

Vilevile ni wazi kwamba kuna njia nyingi za kupata hiyo "net access " hata hao watu wa serikali ya Iran wafanye vipi, kwani binadamu  miaka hii yuko na njaa ya kupata habari kupitia njia hii.....!

Karibu sana.

Tuko pamoja!!

Comment by Alfan Mlali on February 15, 2012 at 17:24

Hahahahahha! Duh bora mkuu Umerudi kwa kasi ila kama tulivyotabiri umeshusha gazeti la ukweli na amabaye hajaelewa atakuwa na kichwa kigumu aka nunda...

Ila mimi sijasoma yote lakini nimeelewa...hahahahah

Comment by Dixon Kaishozi on February 15, 2012 at 16:28

Kaka Chalii umesomeka vizuri kabisa.. Hapa sasa umethibitisha kuwa INTERNET ipo na watu wanatumia kama kawaida.. wewe ukiwa mmoja wao..

Comment by ILYA on February 15, 2012 at 16:00

Na ukitaka kuamini kuwa mimambo hii imekaa kipropaganda zaidi haina ukweli ndani yake ni pale utakaponiona chalii mimi mtandaoni kila siku hapa Tulonge kama kawaida,na hapo mtu asisemi natumia internet ya mbinguni.hahahahahaha

Comment by ILYA on February 15, 2012 at 15:58

Mi nashangaa sana:

Kuzima internet ni mbaya sana lakini kuuliwa wananchi wake na wasomi wake wa kisayansi na tekelinalokujia  kigaidi kupitia mawasiliano ya mtandao wa internet kwa watu fulani fulani kwao hilo ni bomba sana,haki iko wapi hapo???!!!!

Hii ndugu mdau ni ikiwa tutakubaliana na habari hii ati "Internet Iran imesitishwa" kitu ambacho ni urongo mtupu,bali ni propaganda na mbio za sakafuni.

Yafaa nikumbushe hapa:

Iran tangu Mapinduzi ya Jamhguri ya Kiislaam ya Iran kutokea mwaka 1979, ilikuwa nchi ya kwanza duniani kuwa na maadui kibao waliodhidi yake hasa baada ya Shaha aliyekuwa dikteta wa Iran zama hizo kutimuliwa Iran na Ubalozi wa Marekani kufungwa na kufungiwa virago vyake huku Ubalozi wa Israel nao ukitimuliwa na kugeuzwa eneo hilo kuwa Ubalozi wa Palestina nchi inayoendelea kudhulumiwa miaka nenda rudi,tangu zama hizo hadi leo hii Iran imekuwa na maadui lukuki na kuwekewa vikwazo kibao ingawa vikwazo hivyo vimekuwa ni sababu ya nchi hii kuendelea na kupiga hatua ya juu katika sekta zote muhimu kupitia kumtegemea Mwenyeezi Mungu na kujitegemea .

Hivyo baada ya  kumbukumbu kama hiyo fupi, nchi kama Iran nadhani ishazoea propaganda kama hizo kwani inajijua fresh kuwa ina maadui mbali mbali wenye fikra mbali mbali na wenye uadui mbali mbali  dhidi ya Iran na dhidi ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislaam ya Iran na dhidi ya Mapinduzi ya Kiislaam ya Iran, wanataka Iran iwe na mfumo wa Ki-Magharibi na mfumo kwa mujibu wa mawazo yao na fikra yao ilivyo.Hivyo Iran inajijua ina maadui kiasi gani na wana nia ipi ,Iran ni nchi isiyoamini tabasamu la maadui hata siku moja,na ndio maana huwezi kuona ikitishwa na propaganda cha mtoto kama hii ya kusitisha Internet kwani imevuka mipropaganda ya ukweli na mizito mizito kwa muda wa miaka 33 sasa,na ikaweza kuendelea na kufanikiwa,sasa hivi wananchi wa Iran wanafaidi matunda ya Serikali yao,wako na utukufu na heshima ya hali ya juu,wanamendeleo ya kweli, wamekomaa kiteknolojia na kisayansi,wana nyuklia kwa ajili ya matumizi ya amani na ya kiraia kama kuzalisha madawa mbali mbali ya mifugo mazao,kilimo na nguvu ya umeme n.k,leo hii Iran tena ikiwa chini ya vikwazo vya maadui wake imeweza kupata mafanikio mengine mapya ya kuzalisha yenyewe Fuel ya nyuklia na sasa haimtegemei mtu yeyote au nchi yeyote ile hapa duniani kuirutubishia fuel ya nyuklia,hayo yote yanafanyika chini ya vikwazo vya wamagharibi vinavyoilenga teknolojia ya nyuklia ya Iran na uchumi wa Iran.Na zaidi ya hilo Iran na wananchi wake ni wamoja huwezi kuamini,umoja wao ndio siri ya mafanikio yao.

Kama si umoja wao basi kulingana na madui iliokuwa nao Iran ingelikuwa ishafutwa katika uwepo wa dunia hii kwani inawakera sana maadui hao.

Enewei ngoja nikwishie hapo maana watu humu ni wavivu kusoma magazeti,na sijui kama gazeti la mwanamchi linapata wanunuzi huko Bongo.teeteteteetetet

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*