Tulonge

IRAN: Serikali ya Iran yasitisha matumizi ya "Internet".

Iran has demonstrated further evidence of its strict regime after the government cut internet links leaving millions without email and social networks.

Interestingly, the shutdown comes at a time when inhabitants are preparing to celebrate the 33rd anniversary of the Islamic Revolution, with rumours of anti-government protests also planned.

But some internet boffins are rising above the crackdown, and accessing the web by using proxy servers over VPN connections.

Gmail, Google and Yahoo are all thought to have been restricted, and users have been unable to log in to their online banking.

'The interesting thing is that when asked, they deny the fact that all these services are all blocked,' an Iranian contacted by CNET said.

'I don't know the the infrastructure that they will use but I don't think we have a way out of that one.
Only last month, Mail Online reported how two Iranian bloggers had been captured and set to be executed, accused of 'spreading corruption' ahead of the parliamentary elections.

Four journalist were also arrested as Tehran cracked down on freedom of expression - much to the dismay of the Western world.

Also last month, the country's Information Minister announced plans for a goverment-run intranet, giving the state the upper hand in its cyber-battle with opponents.

Views: 383

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by ILYA on February 15, 2012 at 15:54

Iran haijasitisha matumizi ya Internet,hizo zote ni propaganda kutoka kwa wale walio dhidi ya Islamic Republic of Iran,na ambao wako exile.Watu kama hao wana haki ya kuandika kila kitu wakitakacho kuhusu serikali ambayo wako dhidi yake,hii si kwa Iran tu bali kwa serikali zote,ukiwa exile na uko dhidi ya serikali yako utaandika ubongo wako utakavyokutuma,so hii ndio kawaida ya kukabiliana na kitu ulichodhidi yake,yaani kwako wewe masuala kama hayo itakuwa ni simple sana ili mradi tu uonyeshe ni kiasi gani ulivyodhidi ya kitu ulichokuwa dhidi yake.

Mimi hapa ni Chalii,na niko Iran,sijaona Internet kusitishwa, na kama imesitishwa mimi mbona napata Inteenet fresh,au mimi natumia miuzija kutoka Internet ya mbinguni????Hivi inaingia akili internet isitishwe then wengine waipate kama mimi,je hapo imesitishwa au ni ujuha huo.??Kama sio kwenda safari nadhani wadau tungekuwa wote siku hizi nne nilizokuwa katika ghaiba ndogo.

In briefly,Iran matumizi ya Internet hayasitishwa, Internet safi tu tena iko na speed kupita maelezo,hilo mosi.

Pili tuchukulie kwamba matumizi ya Internet yamesitishwa Iran,( ingawa mimi naipata bila tabu) bado hilo sio hatari kwa serikali yoyote ile.sijui nimeeleweka???.

Yaani namaanisha hivi:Hicho kichwa cha habari hapo juu hakiinyimi serikali yoyote ile iwe ya Iran au Marekani au Tanzania au Uingereza kutenda inavyoamini ni usalama wa Taifa lake,kwa maana kwamba  bado serikali inao uhuru wa kufanya itakavyo kuruhusu au kuzuia kwa muda inao taka ikiwa itaona kufanya hivyo ni kwa ajili ya usalama  wa wananchi wake na Taifa lake ukizingatia nchi kama Iran maadui wake wanawalenga kila kukicha na kuua wanasayansi wao kigaidi.nikikumbushia Serikali ya uingereza juzi imesitisha bali kuzuia kabisa tv ya Press Tv ya Iran ati inazungumza haki na kusababisha wananchi wa Uingereza kuandamana dhidi ya Serikali yao,hatujaona humu habari inahusu tukio hilo la Uingereza kuzuia Press tv ya Iran nchini Uingereza.???

"UK ban on Press TV violates free speech"

Hayo ni maneno ya aliyekuwa MP wa UK George Galloway,hebu kandamiza link ifuatayo usome habari ya Uingereza kuzuia Press Tv,kisha usikilize mazungumzo ya mbunge huyo mwanahaki huyo wa Uingereza asemaje kuhusu ukiukaji wa uhuru wa maongezi.http://www.presstv.ir/detail/222368.html

Hatujaona vitendo vya kigaidi dhidi ya Iran vikilaumiwa na vyombo vya habari vya magharibi na vyombo binafsi vya habari.wanasansi wa Iran wanauliwa kigaidi baada ya mitandao ya kiintelijensia kuwasiliana nao ili kupanga mauaji hayo wakitumia internet.

Hilo ndilo linaweza kuwa sababu ya msingi kuzuia Tv au mtandao wa Internet kwa ajili ya uslaama wa Raia na sio kuzuia kwa sababu ati Tv fulani inazungumza haki na kuwaamsha wananchi wa taifa fulani fulani wapiganie haki zao za msingi.

Kinachoshangaza mno:Hatujaona mtu analaumu mauaji  hayo dhidi  wananchi wa Iran na wasomi wanasayansi wa Iran,bali utaona wengi wanabariki mauaji hayo kisha wanakwambia sisi wanahaki tunaheshimu damu ya mwanadamu!!!

Sasa kama serikali itatumia utaratibu wake hata kama uwe wa kuzima internet kwa ajili ya usalama wa raia wake kuna hatari gani???.

Comment by Mama Malaika on February 15, 2012 at 12:03

Blogs na news za Iranians walioko exile wamekuwa wakiandika kuwa Tehran (uongozi) mambo si mazuri hata kidogo. Tehran wanatumia nguvu ku-control media kwani hata TVs nyingi za nje hazionyeshwi Iran zilishapigwa marufuku na ndio sababu watu walioko ndani ya Iran hawajui nini kinaendelea ndani ya sirikali yao hasa mauaji ya raia wasiokua na hatia wanaouawa na sirikali yao. Government-run intranet haitostopisha harakati za watu kutaka reforms. 

 

Mkwe wangu IL-YA yuko hatarini.

Comment by Mntambo Mburi on February 14, 2012 at 16:30

Nawapa pole wote, hasa Chali..

Comment by jemadari mimi on February 14, 2012 at 13:03

Chalii pole sana,maana si taarifa nzuri hizi

Comment by manka on February 14, 2012 at 11:41

hahahahaa@dixon chalii akirudi inabidi aturekodie maelzo tusikilize, maana gazeti la page 12 wengi hatutasoma,.

Comment by Dixon Kaishozi on February 14, 2012 at 9:55

Nakuonea huruma @ Alfan   maana ulivyo mvivu wa kusoma "magazeti" teheheheee... Chalii akirudi lazima aandike page 12.. sasa sijui utapumulia wapi HAHAHAHAHAHAAAA

Comment by Alfan Mlali on February 13, 2012 at 13:46

Hahahahahaha! Ilya lazima achakachue aruke hewani kuja kutujuza kinachoendelea huko..

Comment by Dixon Kaishozi on February 13, 2012 at 8:51

Kama kawaida nasubiri report kutoka kwa Chalii.. sijui lini atakuwa hewani... Kaaazi kweli kweli..

Comment by Tulonge on February 12, 2012 at 22:33

Hii kali, ina maana mkuu Chalii Ilya hatutamuona hapa kwa muda. Kazi ipo

Comment by eddie on February 12, 2012 at 18:03

Kama siyo Iran nchi gani ingine itaweza kufanya hivi....mambo yale yale waliokuwa wakifanya warusi enzi za kikomunisti....hukamati radio/tv yoyote ile kutoka west!

Iran inataka kufufua yale yaliyokataliwa!

Hawajui kwamba unavyokataza ndio kabisa kana kwamba umetangazia watu watafute njia nyingine ya kuingia humo WWW!

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*