Tulonge

Iringa: Achomwa moto kwa kuiba pampu ya sh. 25,000

Mwili wa kijana Paul Raphael Mtekele ukiwa umefunikwa baada ya kuteketezwa kwa moto na wananchi wenye hasira kali baada ya kutuhumiwa kuiba pampu ya kupulizia dawa mazao ya shilingi 25,000 katika kitongoji cha Tosamaganga B wilaya ya Iringa vijijini usiku wa kuamkia leo
Baba Mzazi wa kijana Paul mzee Raphael Mtekele ( wa tatu kushoto akiwa ameshika kiono )baada ya kukuta mwili wa mwanae umechomwa moto na wananchi wenye asila kali.

Views: 1357

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by ANANGISYE KEFA on March 4, 2013 at 17:45

ni mwizi lakini adhabu waliyompa ni ukatili wa hali ya juu sana.

Comment by MGAO SIAMINI,P on March 3, 2013 at 12:42

tatizo hawa jamaa hawakomi kuiba

Comment by Tulonge on March 2, 2013 at 15:38

Kalolo ni kweli huyu alikua Class mate wako?

Comment by mathias mwita on March 2, 2013 at 10:02

the punishment was beyond the measures, nakos and stones were enough to teach a lesson.

Comment by Kalolo J. on March 2, 2013 at 9:12

Oooooh... my class mate Paul, it has gone to this! God have mercy on U!

Comment by Omary on March 1, 2013 at 21:16

Kuuwa ni dhambi hakuna mwanaadam mwenye mamlaka ya kutowa uhai wa mtu ispokuwa ALLAH

ila wezi nao wanaudhi sana yaani wanatia hasira me wameshaniibia kama mara 2 mara ya kwa pikpk ya 1.5m mara ya pili pikpk ya 3.5m yaani nikawa na hasira na mwizi nikaomba siku nikutane na mwizi akipigwa nami nimalize hasira zangu ila sikubahatika na hata nilipomuona mwizi akipigw anakuwa kashachakazwa sana na wananchi wenye hasira kali me naanza kuona huruma ila kweli wanatia hasira yaani kama hasira zile nilizokuwa nazo kipindi nilichoibiwa  kweli ningeweza kuwasha moto hata nyumba nzima ya wezi kimi wote wakaungulia humo ndani jinsi nilivyokuwa najisikia huko moyoni kwangu ila nikamshukuru MUNGU nikakutana na bint 1 anaitwa Halima akanipatia kitabu cha kusoma kaniambia soma hiki mpaka umalize kweli nilipokisoma hasira ziliisha na nikajawa na moyo wa matumaini ya kupata zaid ya kilichopotea MUNGU hashindwi kitu yakawa maajabu kwangu nikanunuwa pikpik kubwa zaid ya ile nikafanya mabadiliko ya haraka utasema sijawahi kuibiwa kiufupi nilipata zaid ya nilichopoteza so IMANI huponya.

Comment by Alfan Mlali on March 1, 2013 at 19:15

Waliomchoma Moto ndio wakulaumiwa...Hakuna sifa kwenye kuua binadamu mwenzio!

Comment by Tulonge on March 1, 2013 at 18:19

Hapa huwa nashindwa nimlaumu nani. Mwizi? au waliomchoma moto?

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*