Tulonge

ITV yatoa tahadhari juu akaunti feki ya facebook inayotumia nembo yake

Katika taarifa ya habari ya saa 2 usiku wa leo, imeelezwa kuwa ukurasa huo hutumika kujitangaza kuwa hutoa mikopo. ITV inawatahadharisha watu wote kujiepuha na ukurasa huo.

Views: 266

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by MGAO SIAMINI,P on March 20, 2013 at 19:01

hapa lazima waingie mkenge watu wanavyopenda kukopa

Comment by Dixon Kaishozi on March 20, 2013 at 10:01

Na wabongo wanavyopenda mteremko.. hehehee.. sasa wataambiwa watoe pesa kidogo ili wapate mikopo.. hapo ndo utasikia kitakachofuata!! vilio na mayowe..

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*