Add a Comment
basi ikiwa ni hivyo huyo mganga sio muongo alimjuaje dickson? na hiyo laptop yako nahisi alimtuma huyo mganga alikuja kuichukua usiku na ungo akaenda kumuuzia dick maana laptop yako niliikuta kwa dickson alikuwa anaitumia, nilimuuliza hii laptop ni ya dis uliipataje? akaniambia zinafanana kama zinavyofanana herufi zenu za kwanza (D)
Hahaaaa.. kumbe.. nilikuwa sijui kama Alfani ni mganga.. maana ndiye aliyekuwa anajua laptop yako kaiba nani...... na SI KWELI.. bado inabaki kuwa niwaongo tu..... hahahaaa
Dixon waganga ni noma sana, kuna siku niliibiwa Laptop yangu kali balaa. Nikaenda kwa mganga.Huwezi amini mganga aliniambia ile laptop iliibwa na wewe Dixon, nikauchuna tu maana nilijua ni muongo.
Mganga aliniambia "Kijana laptop yako imeibwa na rafiki yako ambaye huwa mnakutana sana kwenye mtandao, anapenda wasichana wa kizungu.Kila wakati utamkuta na wanawake weupe.JIna lake linaanza na herufi D.Anaishi Arusha". Moja kwa moja nikajua ni wewe Dixon hahahahhahaahahaaaaaa.
Haahahahaaa ila hilo jamaa lina haki ya kumlinda mkewe, unaona alivyo jaaliwa.
kwikwikwikwi!! waganga bwana,hata haya hana eti mizimu imesema umwache alale hapa wewe uondoke.
hahahaaa.. Dismas umenimaliza.. "waganga wa kienyeji walio wengi ni waongo sana." Inamaana kuna wengine wakweli ? wote waongo tu.. hahahaa
Teh teh teh teh jamaa kastuka, waganga wa kienyeji walio wengi ni waongo sana.
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge