Tulonge

Inasikitisha na kuhuzunisha juu ya picha hii,hivi naomba mniambie kuna haki hapa ya mwanamke huyu asiye na aibu na wala kutambua thamani ya utu wake,mama salma kikwete, anna kilango mpo wapi?

Views: 6179

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by ILYA on March 15, 2012 at 22:45

Ndani ya bongo Hapo!

Yale yale ya ukosefu wa maadili!

Ati alisahau chupi home!

Comment by ILYA on March 15, 2012 at 22:38

Related@ hawa wadada wanaokaa kihasara namna hii:

Si kwamba wanafanya hivi kutokana na ugumu wa maisha,bali ni kutokana na ukosefu wa maadili,hakuna zaidi ya hilo.

Hebu tazama na picha hii:

Comment by ILYA on March 15, 2012 at 22:15

Picha hii ukiitizama utaona inaoana sana na hii hapa:

Yale yale!!, tena hii imezidi kiwango!

Hivi hawa wadada hawana watoto wanaoingia kwa Social Networks!,je wakiona picha kama hizi za mama zao,si ni ishu kubwa?!.

Comment by ILYA on March 15, 2012 at 22:11

Mara nyingi kitu kikiungwa mkono ina maana kinafaa sana na ni cha kimantiki,kwa maana jambo hilo ni la kusifikia na ndio maana linahitaji kungwa mkono.Lakini ukiwauliza wenye maadili na busara,watakwambia kitendo kama hiki si cha kusifika hata siku moja,na watakwambia kwamba jambo lolote baya,halifai kuungwa mkono,kinyume chake ni kulifanya jambo halali katika jamii,na hakuna mtu mwenye fikra hiyo.Na mtu mmoja katika mia akiamua kuliunga mkono jambo ovu ,hiyo haitabadilisha kilichothibiti kwa walio wengi.Nacho ni kulitizama jambo hili kama jambo ovu na la kinyume cha maadili katika jamii.

Hilo ndilo litakalo bakia kuthibiti kwa walio wengi ndani ya jamii yoyote ile,ingawa mtu hatakatazwa kuja na mtazamo wake kuwa yeye anavyona linapaswa kuungwa mkono!!,huyu mwenye fikra ya kipekee kuhusu uovu kama huu unapotendeka,akikutana na Mheshimiwa Rais Obama atamwambia hivi: 

 'We respect your  sentiment  (in specificity.)'

Comment by eddie on March 15, 2012 at 21:47

Mimi huyu namfagilia kuliko omba omba ambao wana mikono mizima na miguu na akili kichwani!! 

Nitamuunga mkono huyu daima kwa analolifanya, maadili hayamshibishi huyu hata siku moja!!

Mimi najua kusota maana yake nini ndio maana naongea hivyo!

Huyu unaweza kukuta ana ndugu na jamaa wanamtegemea kwa kazi hiyo anayoifanya.

Comment by ILYA on March 15, 2012 at 21:31

Huyu si kwamba kafanya hivyoo kutokana na ugumu wa maisha,hapana, bali hiyo ni sehemu ya ukosefu wa maadili kama alivyosema kaka Omary hapo chini.Watu wengi wanamaisha magumu mbona hawafanyi hivi,jawabu lake hawafanyi hivi kwa kuwa wana madili,na wasio kuwa na maadili ndio hufanya hivyo.

Na kama tutakubali kuwa ana maisha magumu hivyo anatafuta:

Lakini bado hiyo itabakia kutokuwa njia sahihi ya kutafuta maisha ili  kuishi kwa watu kama hawa,bali njia zipo za kutafuta maisha na sio kupitia njia kama hizi za ukosefu wa maadili.

Comment by ILYA on March 15, 2012 at 21:22

Sasa huo mkono hapo ndio kashika wapi, au kuna sumaku inavuta mkono huo hadi hapo ulipo!,watu wengine bwana! kwanza hajanawa hata miguu,havutii!

Huyu dada hapo picha za kihasara kama hii hazimpendezeshi hata kidogo;

Bora ya huyu hapa katoka chicha ingawa robo 3 uchi:

Au bora ya picha hii hapa kutoka (Globalpublisherstz.com) ya wasanii wanaojiita kioo cha jamii:

au hii hapa:

Comment by Christer on March 15, 2012 at 19:20

Mmmmmmmmmh, nitarudi kwasasa sina comment

Comment by Alfan Mlali on March 15, 2012 at 17:30

Mambo ya Kanga Moko hayo watu wanajitafutia riziki japo kwa njia zisizo za halali!!!

Comment by ANGELA JULIUS on March 15, 2012 at 16:00

dah huruma sana ila ni ugumu wa maisha unaomfanya mtu ajiweke hali hiyo kama alivosema kaka Eddie huyo ni entertainer.

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*