Tulonge

Inasikitisha na kuhuzunisha juu ya picha hii,hivi naomba mniambie kuna haki hapa ya mwanamke huyu asiye na aibu na wala kutambua thamani ya utu wake,mama salma kikwete, anna kilango mpo wapi?

Views: 6150

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by manka on March 15, 2012 at 13:57

mhuuu!! aibu tupu.

Comment by eddie on March 15, 2012 at 12:20

 Njaa haina aibu, huyu mama ana haki yote ya kufanya hivi. Huyu ni "entertainer".

Hivi karibuni kuna mwanakijiji mmoja alitoa issue moja kuhusu kima mama wanaojiuza, wote hawa ni entertainer......kwa wengine itakuwa aibu lakini huenda ndio njia yao pekee ya kuweza kushi.

Hiyo ndiyo "CAPITAL" yao yakufanyia biashara wapate kipato!

Comment by Omary on March 15, 2012 at 12:15

Sijui niseme yupo kazini?! ila Malezi nayo yanachangia kuwa hivi weee! mtoto alielelewa hasaaa hawezi kuwa hivi hata siku moja.

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*