Tulonge

Jionee maajabu ya Loliondo kwa Babu

Ni mengi sana yamekuwa yakizungumzwa juu ya tiba ya baadhi ya magonjwa sugu ukiwemo ukimwi inayotolea huko Loliondo na mchungaji mstaafu Ambilikile. Jionee yanayotokea huko,pia waweza toa maoni yako.
SEHEMU YA KWANZA

SEHEMU YA PILI

Views: 314

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by CHA the Optimist on March 28, 2011 at 22:15
Mathew (Mathayo) 21:18-22.
Comment by chaoga on March 28, 2011 at 9:53
hilo ni bomu linalosubiri kulipuka, kama ni kweli ngoja tuone....ila mnaoumwa msisite kwenda huko
Comment by Jorge Novati Rutenge on March 28, 2011 at 0:02
Mimi naungana na Joan, siwezi kucomment chochote kwa sasa.
Comment by Joan on March 27, 2011 at 23:35
Ngoja tusikilizie baada ya miezi kadhaa nini kitatokea,nashindwa kumpinga au kum-support Babu

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*