Mh.John Mnyika, Mbunge wa jimbo la Ubungo (CHADEMA)
MUHIMU: Tahadhari kuna mtu amefungua akaunti kwa jina langu na picha ambayo si halali na tayari anafanya mawasiliano na kuandika vitu mbalimbali. Ifahamike wazi katika Facebook nina akaunti hii tu: http://www.facebook.com/john.mnyika?fref=ts na fan page: http://www.facebook.com/pages/John-Mnyika/113913842009362 na upande wa Twitter akaunti yangu ni: @jjmnyika pia; @TeamJohnMnyika na @TeamUbungo ambazo zipo chini ya Ofisi yangu! na blogu ni: www.mnyika.blogspot.com
Kwa wale ambao wanaona wanashindwa kuwa friends katika akaunti yangu kwasababu ya kufika ukomo basi nawaomba mjiunge na fan page yangu kwa kupitia link hii:http://www.facebook.com/pages/John-Mnyika/113913842009362na si akaunti nyingine!
Add a Comment
Ok!
Sawa
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge