Tulonge

Huyu umuonaye hapa simnyama au mdudu ,bali ni mwanadamualiyekata tamaa ya maisha kufuatana na maradhi yanayomsibu.

Kijana Nguyen Duy Hai wa nchini vetnam hana uwezo kufanya kitu chochote kilezaidi ya kukaa chini au kujilaza kwani uvimbe kwenye mguu wake umekuwa mzito sana kiasi cha kufikia kilo 80 toka chini.

Views: 238

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Dixon Kaishozi on December 15, 2011 at 9:06

Tumrudie Mungu na Tuombe TOBA ya kweli.. Ee Mwenyezi Mungu, Tusamehe sisi waja wako kwa yote tulio kukosea na na tunayokosea.. Tunashukuru kwa Uzima na afya njema unayo tujalia. Amen

Comment by Alfan Mlali on December 14, 2011 at 8:13
OMG!! Kweli Mwenyezi Mungu ni Mkubwa na akitaka kitu basi husema kuwa na hicho kitu kikawa.Hatuna budi kumshukuru kwa kila kitu kiwe cha kheri au cha shari maana shari na kheri zote zatoka kwake!
Eeh Mwenyezi Mungu tunakuomba utuepushe na maradhi ya aina yoyote yale makubwa na madogo..Wewe tu ndiye tunayekuabudu na wewe tu ndiye tunayekuomba msaada!!AMEEN
Comment by Mama Malaika on December 13, 2011 at 23:55

Namuonea huruma sana, mtu kutohimili mwili wako ni adhabu kubwa na unakata kabisa tamaa na maisha.

Sijui kwa nini hawa watu wa Vietnam, Cambodia, Indonesia na nchi zinazokunguka maeneo yale wana magonjwa ya uvimbe wa mwili wa ajabu ajabu, mtu ana kichwa cha kutepeta, mtu kaota mizizi (kama mti) mwilini mara sijui mtu ana moyo wa pili uko transparent umeota nje ya kifua.

Comment by ILYA on December 13, 2011 at 23:44

Duh,uvimbe tu kilo 80 ,hapo hujaweka uzito wa mwili wenyewe,jamani kuna haja kwa kila aliyemzima wa afya  kumshukuru sana Mola wake kwa neema hiyo ya uzima huo wa Afya.Hii ni neema kubwa sana ingawa wengi huwa hawaitambui neema hii kuwa ni neema wanapokuwa wazima,mpaka pale wanapoipoteza utawaona wakilia na kusaga meno wakikumbuka neema ya uzima ambayop walishindwa kuishukuru walipokuwa nayo na sasa waotamani.

Tunamshukuru Mungu sana sisi watu wa Tulonge kwa kuwa tuko msitari wa mbele kuzishukuru kila neema atupazo Mola wetu Muumba ndogo ndogo na kubwa kubwa,zikiwemo nyembamba nyembamba na nene nene.

Comment by Christer on December 13, 2011 at 18:49

Mungu msaidie na utusaidie.

Comment by ANGELA JULIUS on December 13, 2011 at 17:12

uwiiiii anahitaji maombi kwa imani yake lol, kweli hujafa hujaumbika ee Mungu kama ni mapenzi yako tunayaheshimu ila kama si kwa mapenzi yako basi tunayakataa kwa jina la Yesu

Comment by Agnes Nyakunga on December 13, 2011 at 12:01

Kumshukuru mungu ni jambo la maana kwa kweli wewe ujionae uko safi hebu mwambie mungu wako ahsante, inasikitisha sana.

Comment by Tulonge on December 13, 2011 at 11:08

Daaah! Mungu amsaidie, kweli hujafa hujaumbika

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*