Tulonge

Kadi nyekundu yaigharimu Taifa Stars, yachapwa 2-1 na Morocco

Hivi ndivyo ilivyokua

Timu ya soka ya Tanzania (Taifa Stars) imekubali kipigo cha 2-1 toka kwa Morocco katika mchezo wa kuwania kufuzu kucheza fainali za kombe la Dunia 2014 huko Brazil. Mchezo huo ulifanyika huko Morocco. Kwa matokeo haya Taifa Stars ina kibarua kigumu cha kuhakikisha inafuzu kucheza fainali hizo.

Katika Mchezo unaofuata Tanzania itacheza na Ivory Coast hapa Tanzania tarehe 16 Juni 2013 na tarehe 06 Sept 2013 itamaliza michezo yake kwa kucheza na Gambia huko Gambia.

Hadi sasa msimamo wa kundi C upo hivi:-

Views: 253

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by KUNAMBI Jr on June 10, 2013 at 15:44

kwani ivory coast hatuwezi kuwafunga subirini maajabu sasa

Comment by MGAO SIAMINI,P on June 10, 2013 at 14:23

mjata usikate tamaa tukishinda mechi zote zilizobaki na iv0ry coast ikitoa droo au kufungwa na moroco tunapita sisi.

Comment by Mjata Daffa on June 10, 2013 at 9:00

Taifa STARS HOYEEEEEEEEEEEEEEEE, hapo ndio mwisho wa uwezo wetu vijana wamejituma at their level best turudi kijipanga kwaajili ya 2018.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*