Tulonge

Ni vema ukiwatakia kheri ya mwaka mpya 2013 wana tulonge wenzako

Views: 409

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by KUNAMBI Jr on January 26, 2013 at 7:51

Heeeh Kwani Mwaka ushafika jaman mwenzenu sijui nilikua dunia ya ngp

Comment by Christer on January 3, 2013 at 11:10

Comment by Mama Malaika on January 2, 2013 at 16:33

To All My Friends...Have A Safe And Happy New Year 2013. Life Is Too Short To Dwell On The Negative...Use That Energy To Move Forward This Year....One Love

Comment by Monica on January 2, 2013 at 9:22
Miaka inavyosogea ndio na umri wetu Wa kuishi unakaribia ukingoni,tutende mema jamani kwani hatujui Cku wala saa.Taarifa za Kifo cha Sajuki zimenisononesha sana siku ya Leo . AMAKWELI SIRI YA KIfO NI KUBWA Sana kwetu binadamu
Comment by John Genda on January 1, 2013 at 16:49

NAWATAKIA AFYA WANATULONGE WOTE NA ZAIDI SANA MACHO YENU YAWE BOMBA ILI TUENDELEE KUUTEMBELEA MTANDAO WETU WA TULONGE

Comment by NIKU GEOFREY on January 1, 2013 at 16:40

mwaka mpya mwema na wenye mafanikio mema zaidi ya yote tumtangulize mungu katika kila jambo tulifanyalo.

Comment by David Edson Mayanga on January 1, 2013 at 14:09

 Dear Colleagues

If God moves us from January to December, He can move us from shame to fame, from insult to results, from sorrow to glory, disgrace to grace, labour to favour, mockery to victory. May God raise you from your all impossible angles to victorious time. May he bless you forever. I wish you a HAPPY NEW YEAR 2013

Lets strengthen more business, professional, and/or social relationship for mutual success in 2013.

Thank you and best regards
DAVID EDSON MAYANGA

davidmayanga@gmail.com

Comment by Severin on January 1, 2013 at 1:58

Nawatakia mema wadau wote kwenye mwaka 2013

Comment by Kayay Faiz Junior on January 1, 2013 at 0:40

wana tulonge woooooooooooooooote mpo juu coz mpo kwa mtandao wa kijanja zaidi

Comment by Wa Kimberly on December 31, 2012 at 23:48

Asante na wewe pia

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*