Add a Comment
HUYO NI MPUUZI TENA SANA. SASA HAPO KATATUA TATIZO AU KAONGEZA MATATIZO MAWILI, JUMLA YAMEKUA MATATU.
pamoja na kumpenda ktk jambo kama hilo unatakiwa kua mvumilivu ili ufanye maamuzi ya busara, ange ua mahakama hisinge jali mapenzi yake, hapo ni kinyongo tu.
Dume jinga hilo, sasa hapo ndo limetatua tatizo?
JAMAA ANAMPENDA SANA MKEWE ILA SEMA TU INAUMA SNA TENA INASEMEKENA ALIWAHI KUMFUNGURIA HADI DUKA KBWA SANA NA PIA KAMNUNURIA GAR BMW MPYA KABISA KISHA AJE ALETEZAKULETA WEWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
Huyu jamaa ni simhesabu kabisa katika kundi la watu wapendao wake zao....wewe kama unampnda mtu huwezi kumkata kata kwa panga! Huko ni kupungukiwa na utu!
weeeeeeee! ndoa inauma bwana huyu jamaa inaonekana anampenda sana mkewe.
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge