Tulonge

Kijana mnene mwenye 610kg apata msaada wa kwenda kufanyiwa upasuaji

Akitolewa kwenye nyumba aliyokua akiishi kwa lifti.

Saudi Arabia, Kijana Khalid Mohsen wa miaka 20 mwenye 610kg amepata msaada toka kwa Mfalme Abdullah kwa ajili ya kwenda kufanyiwa upasuaji mji wa Riyadh kutokana na matatizo ya kiafya yaliyotokana na unene wake. Watu walilazimika kumchukua kwa lifti (forklift) toka ghorofa ya pili ambayo alikua akiishi. Aliishi kwa muda wa miaka miwili bila kutoka kenye ghorofa hiyo ya pili kutokana na unene wake.

Ililazimika kubomoa sehemu ya ukuta wa nyumba aliyokua akiishi kabla ya kupokewa na lifti kwa nje na kumpeleka uwanja wa ndege kwaajili ya kumsafirisha kwenda mji mkuu Riyadh kwa upasuaji.

Akiingizwa kwenye ndege

VIDEO

Views: 609

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Dixon Kaishozi on November 8, 2013 at 9:33

Duh!!!!

Comment by Chikira Chikira on November 6, 2013 at 23:36

Haya ni zaidi ya majanga!! hata usafiri wenyewe unaonekana ni dege la kijeshi la mizigo!ndege ya kawaida ya abiria isingewezekana!!!!!!

 

Comment by Christer on November 6, 2013 at 22:36

Majanga

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*