Kifuatacho ndicho alichoandika kwenye ukurasa wake wa facebook:
Kumekuwa na maswali mengi ya kwanini sionekani na niko kimya sana. Kujibu maswali hayo ni kwamba nimekuwa siko sawa kiafya.
Lakini nashukuru Mungu sasa naendelea vizuri. Ahsanteni sana kwa kunionyesha upendo wenu.
Nawatakia weekend njema.
Add a Comment
pole sana
pole sana!!!wat happened then?
Poleeeeeeeeeee
Pole Madam
Ndio dunia, usidhani siku zote utakuwa kama ulivyo hujafa huja umbika, hayo ni majaribu rudi kwa mola wako bado anakupenda.
pole sana Madam
Tunakupenda......
Mungu yu mwema!
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge