Tulonge

Kumbe kujiremba ndo kulimponza Masogange akamatwe Afrika Kusini

Taarifa zilieleza kuwa nchini Afrika Kusini mtandao uliowasaidia kina Masogange kupita na dawa za kulevya hapa Dar, pia ulijipanga kufanikisha upitishaji wa dawa hizo aina ya Cyrsatl Methamphetamine au “TIK” pasipo kubughudhiwa.

Taarifa zinaeleza baada ya Masogange na wenzake kufanikiwa kupita katika maeneo ya ukaguzi ya uwanja wa Oliver Tambo, Mangunga (Kijana aliyekua na kina Masogange) alifanikiwa kuondoka uwanjani hapo na mabegi matatu yenye jumla ya kilo 60 bila kujulikana.

Masogange kilichomponza ni pale alivyokuwa anajiremba baada ya kuruhusiwa kupita katika vizuizi vyote. Kiuhakika hakukamatwa katika mashine bali ilikuwa ni ukaguzi usio rasmi uliofanywa na polisi. Nadhani huyu askari aliyewashika hakujua mpango huo,” kilisema chanzo chetu ndani ya Jeshi la Polisi.

Via: Jumamtanda Blog

Views: 551

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Christer on August 21, 2013 at 14:31

Pole yake

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*